ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Kapate Kwa uwiano sawa na kanachochangiakwahiyo alitaka kawilaya kenye watu chini ya 2m kapate sawa na nchi yenye watu 58m? ni haki yake aseme hivyo kwasababu ACT WAZALENDO wapo zenji pekee huku bara hawapo. na huko ndiko anapatia ruzuku. opportunist mno huyu, na anatafuta upendeleo kwa ccm wampe tena pesa amalizie kale kagorofa kalikosimama ujenzi pale dodoma karibu na kisasa.
Nafkiri angeweka takwimu rasmi watu wakokotoe hapo, namba huwa hazidanganyi...Zito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito,Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lisu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Hili nalo si Lirundi, linaongea nini?Zito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito,Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lisu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Lisu hajatoa hoja zaidi ya kuhubiri chuki na mgawanyiko.sawa jibu hoja za lissu kama mgawanyo uwe sawa!
Acha ujinga. Hayo makusanyo ya TRA hayavuki bahari.TRA inakusanya mapato Zanzibar ya nini?
Kila nchi ikusanye mapato Yale huko huko.
Unakwenda kukusanya mapato ya watu 1.5 milioni ,unachanganya na mapato ya watu 60 million?
Hapo kataja % tu,ambapoZito ni mchumi mwenzangu, takwimu zinaongea hatutaki porojo.
Sheri Sheri au madagasca wako mbali?Zenj wangejitawala wangekuwa mbali sana,wanapiga kazi ila Bara watu Wana mdomo na fitina hatari.
Just imagine licha ya Samia kutoka Zanzibar kuwaokoa kwenye uchumi ulikokuwa unakuta wameishia kumjazia fitina 😁😁
Onyesha hiyo 20% ulikoitoa maana hiyo hoja ndio Zito kaioinga hapo Juu Kwa kusema ni 4.5% only.
Pili mbona huzungumzii hoja yake ya kwanza?
Msitafute excuses TRA peke yake inakusanya zaidi ya Bilioni 400 kutoka Zanzibar hapo sijataja taasisi zingine za Muungano mfano Uhamiaji nk.
Mkuu umesoma na kuelewa nilichokiandika #65Acha ujinga. Hayo makusanyo ya TRA hayavuki bahari.
pesa ndogo sana hiyo,Tena wazanzibar wanatupunja,hiyo ina maana TRA Kila mwezi huchukua billion 33.3🤣🤣🤣,halafu hela hiyohiyo tuwalipe wabunge wao 80 wanaofika huku,wanajeshi,police na uhamiaji walioko kule,wizara zote za muungano na hapohapo wanapata asilimia mbili Tena aisee mbona tunapunjwa sisi wabaraChangamoto
Kama ndivyo hivyo kuna haja ya kupata Katiba Mpya haraka mwaka huu ili kuponya majeraha ya pande zote mbili,Zanzibar na Tanganyika na kabla mambo hayajaharibikaZito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito,Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lisu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Jeshi la wananchi mnataka bara tugharimie pekeyetu?Onyesha hiyo 20% ulikoitoa maana hiyo hoja ndio Zito kaioinga hapo Juu Kwa kusema ni 4.5% only.
Pili mbona huzungumzii hoja yake ya kwanza?
Msitafute excuses TRA peke yake inakusanya zaidi ya Bilioni 400 kutoka Zanzibar hapo sijataja taasisi zingine za Muungano mfano Uhamiaji nk.
Acha ujinga. Hayo makusanyo ya TRA havuki bahari.TRA inakusanya mapato Zanzibar ya nini?
Kila nchi ikusanye mapato Yale huko huko.
Unakwenda kukusanya mapato ya watu 1.5 milioni ,unachanganya na mapato ya watu 60 million?
Customs ni swala la MuunganoMkuu umesoma na kuelewa nilichokiandika #65
Hoja ya kugharania peke yako Inatoka wapi wakati mnawapunja?Jeshi la wananchi mnataka bara tugharimie pekeyetu?
Nyie watu wa Bara ndio mumeyaleta haya Kupitia mropokaji Lisu
Sasa kama inajitegemea kwa mapato yake,hyo asilimia 2 inaenda Zanzibar kufanya nini?? Huoni kama inawanyonya watanganyika??Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
Lisu ni mahiri wa sheria sio masuala ya Uchumi.Lisu hajawahi kuwa mropokaji hata siku moja. Lolote alinenalo Lisu, huwa amelifanyia kazi kwa umakini. CCM ndiko huwa wamejaa waropokaji na wapiga kelele.
Kugharania shughuli za Muungano(Tanganyika) ZanzibarSasa kama inajitegemea kwa mapato yake,hyo asilimia 2 inaenda Zanzibar kufanya nini?? Huoni kama inawanyonya watanganyika??
In security wises!Muungano ni Kwa maslahi ya Tanzania,Bara inahitaji Zanzibar kuliko Zenj inavyohitaji Bara