Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Jaji Kaijage is conscious of the legacy he will leave for himself, his offsprings and the country at large as the NEC chairman; he cannot afford to make a decision that will tear the country asunder!
Kaijage kawa chairman wa NEC katika kipindi kigumu, atakuwa chairman wa kwanza kumtangaza mpizani kuwa rais.
 
Kama watakosa sifa basi ni lazima waenguliwe wala wasiifokee time.

Lakini pia kuna jambo linalowafanya watu wa tume ya uchaguzi kufanya hayo mnayoyaita kubumba.
Kutafuta Teuzi au kula maisha.

Kama jambaza au mwezi anaiba kwa wazi halafu anapata mafanikio makubwa bila kukamatwa wala kupingwa huku jamii ikiwa inamtukuza na kumwabudu huku ikiwa inamwomba misaa na kushabikia na hata kumpa heshima kubwa mpaka kwenye nyumba za Ibada, basi ni dhahiri kuwa jambaza au mwizi huyo hataacha na mwisho ataunda genge la ujambaza au uhalifu kwa lengo lile lile la kujipatia maisha mazuri na familia yake itaona kama kuiba au ujambazi ni kazi yenye heshima.

Tangu tumeanza uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi pamekua na rushwa ya fedha na ahadi za teuzi na wanafaika wakubwa ni wale wanaharibu na kuvuruga kwa wazi matokeo ya uchaguzi.

Hakuna hata mmoja aliyewahi kushitakiwa kuwa amevuruga uchaguzi na kuisababishia serikali Hasara kubwa kwa kurudia uchaguzi au hata kupoteza maisha ya watu au kusababishia watu ulemavu kwa vipigo. Wanaoumizwa na kudharauliwa kwa kejeli ni wale wale wanaonyimwa haki zilizopi kisheria.

Bila shaka kama tume itaundwa na watu waliojaa ubinafsi na wapenda rushwa ya vyeo na madaraka kama wanavyoahidiwa basi tusitegemee kauli ya Zito mtandaoni ikiwatisha wala kubadili fikra zao zilizojaa ubinafsi na kulisababishia taifa hasara na wakati mwingine kuhatarisha amani kwa sababu tu ya kulinda vyeo vyao na vya marafiki wao huku wakiliacha taifa kwenye taharuki kubwa na Chuki kubwa kwenye jamii.

Hata hivyo wapinzani wajipange kwa hoja mana Bado CCM inabebwa na utendaji wa JPM zaidi. Hivyo waje na ushawishi mkubwa zaidi wa hoja za kuimarisha uchumi na kujenga miundo Mbinu.
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingua barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za NEC then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Kwa nchi watu walivyp waoga hilo haliwezekan Mange kinambi alijaribu sn ila alikuja kugundua nchi hii waoga na sio km akili hawana no akili wanazo s3ma waoga.
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Stupidity have got one major characteristic,to reveal he who own it in front of the mass!!.
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
absolutely.
na ndiyo maana busara pekee ni kutokuwaengua watu hovyo hovyo.
mbona awamu za huko nyuma haya mambo ya kuenguana en masse hayakuwepo?
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
ila pascal kuna muda Dish lako linayumba, kichwa kinabaki hewa

Empty headed
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Wajumbe walichokufanyia hujaridhika tu sasa unatafuta njia mbadala
Achana na ZZK wewe kada wa lumumba
 
Back
Top Bottom