Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Zipo njia sahihi za kesheria za kutatua matatizo/changamoto za uchaguzi. Unapoona viongozi wakubwa was vyama vya siasa wanaanza kuhamasisha njia haramu hiyo ni ishara mbaya.

Kiongozi mzuri hawezi kuhamasisha umwagaji wa damu ili tuu yeye au mgombea wake aende ikulu.

Serikali ipo macho kuhakikisha amani inatamalaki
Ishara zinaonyesha kuwa waliopo kwenye hiyo unayoita serikali ndiyo wanawachokonoa wananchi,wakiambiwa waweke Tume Huru ya Uchaguzi wanadai iliyopo ni huru wakati wanaoongoza Tume ni wakereketwa wa CCM.Wakiulizwa kuhusu Katiba Mpya wanakuambia siyo kipaumbele chao.Katika mazingira kama hayo unawasingizia wapinzani.
 
Back
Top Bottom