Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

ZZK, Acha Uchochezi.
ZZK , Umepoteza dira; huku ACT inakufia mikononi na jimbo unapoteza kule Kigoma usipojipanga kutoa hoja kwa wanakigoma.

N.B: Wakikosa vigezo ama wakijaza fomu kama vitoto vya chekechea dawa yao ni moja tu KA-TA.
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Kama hawana sifa basi wateuliwe tu kwa sababu ya vitisho vyako Zitt? Hii ni kweli au unaota? Mgombea kama hana sifa kulingana na Katiba na sheria husika ATAPIGWA CHINI TU! Haitajalisha ni NANI!? Ni vizuri mmwape taarifa hizo hao wafadhili wenu. Hatishwi mtu hapa! Tunakwenda kwa sheria, kanuni na taratibu.
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Nakumbuka kauli kama hizi zimeishwahi kutolewa sana. Sijui hawana kumbukumbu hawa watoaji wa kauli hizi?
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Karibuni mtaan bro, tunawasubl kwa ham maana hatujapasha live mda mrefu...
 
Kaijage kawa chairman wa NEC katika kipindi kigumu, atakuwa chairman wa kwanza kumtangaza mpizani kuwa rais.
Hilo halipo labda kama tayari tutakuwa tumegeukia upande wa pili tofauti na kutegemea box la kura, ila kama ni box la kura hilohilo atatangazwa yule yule aliyezoeleka
 
Huu mwaka historia itaandikwa nchi hii
Ni kweli itaandikwa historia mpya ya kushindwa kwa AIBU kwa vyama vya upinzani baada ya kujipa matumaini makubwa yasyokuwepo na HATIMAYE KUDAIWA NA WAFADHILI PESA ZA RUZUKU WALIZOWAPA BAADA YA KUWADANGANYA KUWA WATASHINDA. sIJUI HILO DENI WATALILIPA VIPI!? Tusubiri tuone, labda watalilipa kwa vyuma vya Liganga au vile vya Mchuchuma!
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Wanaoweza hayo mambo wazenji tu ambao nao wametulizwa kwa sasa huku bara wamejaa keyboard warriors tu
 
Safi sana Zitto naunga mkono hoja. Hakuna sababu yoyote ile ya maccm kuwachagulia upinzani ni yupi ambaye anastahili kugombea Urais. Wana hofu kubwa sana na Lissu sasa wanatapatapa huku na kule ili kufanya uhuni wao wa kumuondoa kwa sababu UCHWARA na za kumbambikia. Mkapa aliopna mbali sana alipodai kuwepo na TUME HURU.

2485379_EJTWRAzWsAAlue5.jpg

Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Hahaha Pascal Mayalla tumsamehe tu. Hadi yeye mwenyewe sasa anaogopa kivuli chake. Aliandika nakala lukuki akijinasibisha kuwa yu huru (hana chama). Sasa haelewi aandike nini, yaani yeye kwa sasa hana tofauti na @biayetu
 
Kaijage kawa chairman wa NEC katika kipindi kigumu, atakuwa chairman wa kwanza kumtangaza mpizani kuwa rais.
Ni vizuri lakini nasisi upande wa upinzani twende kwa wananchi tukiwa tumejiandaa na sera nzuri tusije tukapewa surprise kwenye uchaguzi. Tusiishie kulalamikia uongozi uliopo bali nasisi tuseme "mkitupa nchi tutafanya a,b,c......n.k."
 
Ni vizuri lakini nasisi upande wa upinzani twende kwa wananchi tukiwa tumejiandaa na sera nzuri tusije tukapewa surprise kwenye uchaguzi. Tusiishie kulalamikia uongozi uliopo bali nasisi tuseme mkitupa nchi tutafanya a,b,c......n.k.
Shaka na hofu ondoa, wanajua wapinzani Wana hoja na sera mbadala, ndo maana walikataza bunge live na mikutano ya siasaa
 
NEC wakithubutu kufanya huo ujinga, walahi watakuja kujutia nakwambia.

Unajua CCM kuna mambo wanayachukulia poa, lakini nawahurumia sana.

Muda ni mwalimu mzuri sana
Maneno matupu.
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Wacha weee!!!
 
Hizi ndio lugha zinatakiwa kwa sasa. Sio ofisi tuu, DED au yeyote kwenye tume akijulikana kashiriki uchafu basi awe anajua kuwa familia yake au yeye binafsi kaweka reheni maisha.

Akikuta mke na watoto wamevimba matako kwa bakora ndio ataujua uchungu.
Mkuu inaweza kuwa unaongea kimasihara hiyo para ya mwisho lakini hii mbinu iliwahi kutumika huko Colombia yaani polisi ukifanya upuuzi unakuta maiti ya mwanao inabembea getini.

Nadhani huu upuuzi wa NEC ungeisha kimyakimya bila maandamano wala mapovu.
 
Huu pia ni uchozezi!

ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...

P
Paskal mayala bado hujaacha kujipendekeza kwa magufuli? Uteuzi hupati hata ufanye nini? Hii mifano yako ya kibwege inazidi kudhihirisha ilivyokuwa mjinga wa kutupwa
 
Ikiwa vyama vimesimamisha wagombea na ipo imani kuwa wagombea wa upinzani ni bure, hawakubaliki nini hasa maana ya haya yote kama sio kutafuta matatizo?

Waacheni watanzania wachague kinacho wastahili.
CCM na Paskal mayala wanalazimisha kuipenda CCM kwa nguvu
 
Back
Top Bottom