Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Hali ilipofikia CCM wamechanganyakiwa, yaani pamoja kujenga flyovers na Kununua ndege ila wananchi hatuwataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Wananchi wanajua pesa nyingi sana zinapotelea kwenye kudhoofisha chadema kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo halisi wanajua trilion 1.5 imepigwa kisha CAG kutolewa kafara
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Unajiandikia tu humu Tz hatuna huo ujasiri labda baada ya miaka 30 ijayo
 
Unajiandikia tu humu Tz hatuna huo ujasiri labda baada ya miaka 30 ijayo
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake kumbuka sasa watanzania wamechoka hakuna mabaya yasiyo na mwisho, wapo wapi akina chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein , mabutu, Abacha, Allbashiri na Iddy Amin Dada?
 
Huu pia ni uchozezi!

ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...

P
Sikuhizi Mabandiko yako yamekuwa utopolo sana .. Heshima yako yote imeporomoka

Ama kweli mayalla kikwetu tafasiri yake ni njaa na mwenye njaa lazima ajipendekeze kwa mwenye chakula ..
 
Flyover ina msaidia diamond na wasanii wa CCM kushoot video tu
Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa zawalipa ambao wengi ni wapinzani na wananchi wasio na vyama
 
Sikuhizi Mabandiko yako yamekuwa utopolo sana .. Heshima yako yote imeporomoka

Ama kweli mayalla kikwetu tafasiri yake ni njaa na mwenye njaa lazima ajipendekeze kwa mwenye chakula ..
Paskal mayala kawa mtu wa hovyo hovyo Akili zake zimechuja kama Cyprian Musiba bado anawaza ndoto za uteuzi
 
ZZK, Acha Uchochezi.
ZZK , Umepoteza dira; huku ACT inakufia mikononi na jimbo unapoteza kule Kigoma usipojipanga kutoa hoja kwa wanakigoma.

N.B: Wakikosa vigezo ama wakijaza fomu kama vitoto vya chekechea dawa yao ni moja tu KA-TA.
Vigezo muhimu vya kukosa sifa ni CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, jaji kaijage aikate CCM kwani wanetoa Rushwa kwa kununua jogoo kwa laki moja huko rufiji
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Mbona wanaweweseka, au kuna madudu ya ukiukwaji wa sheria wameyafanya? Na kama yapo sheria itachukua nafasi yake na uchaguzi utafanyika tu. ZITTO KABWE USITUFOKEE
 
Kaijage kama Akili zake zipo sawasawa aanze kuikata CCM yenyewe kwanza kwani haina vigezo imetoa Rushwa kibao kupitia Teuzi ambazo zinaendelea kipindi hiki huku kamati kuu ya CCM ikipanga kuwabeba Mwakyembe na CCM wengineo wengi waliotoa Rushwa kwenye chaguzi za kura za maoni
 
Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa zawalipa ambao wengi ni wapinzani na wananchi wasio na vyama
Pesa za maendeleo tunalipa Watanzania tunaolazimishwa kuwa wanyonge huku tunaweza kujenga Flyovers,SGR,Stigler's,Barabara za lami na madaraja hadi Jiwe na watu wake wanapagawa.Hawahitaji tena kufuata vipaumbele vyetu ni kutafuta sifa zao binafsi kwa kodi zetu.CCM ndiyo kansa inayoliangamiza Taifa letu na tunatakiwa kuwakataa mchana kweupe.
Tanzania kuendelea kuwa maskini ni kwa sababu za kutekeleza miradi isiyo na tija kama Stiegler's Dam wakati Gas ya Msimbati-Tegeta ingetumika vema kwa hata nusu ya fedha tunayoitupa kwenye Dam construction tungeweza kufua umeme wa kutosha au kukarabati TRC na TAZARA ingekuwa mbadala wa SGR na TRC wangepewa uwekezaji wa kujenga SGR hatua kwa hatua.Hata hivyo watawala hawana dhamira ya kuboresha vya Mwl J.K Nyerere ili wapige 10% za miradi mipya.
 
Huyo mrundi anaweweseka tu,hakatwi mtu ili isitokee sababu,ccm tunashinda mapema sana
 
Pesa za maendeleo tunalipa Watanzania tunaolazimishwa kuwa wanyonge huku tunaweza kujenga Flyovers,SGR,Stigler's,Barabara za lami na madaraja hadi Jiwe na watu wake wanapagawa.Hawahitaji tena kufuata vipaumbele vyetu ni kutafuta sifa zao binafsi kwa kodi zetu.CCM ndiyo kansa inayoliangamiza Taifa letu na tunatakiwa kuwakataa mchana kweupe.
Tanzania kuendelea kuwa maskini ni kwa sababu za kutekeleza miradi isiyo na tija kama Stiegler's Dam wakati Gas ya Msimbati-Tegeta ingetumika vema kwa hata nusu ya fedha tunayoitupa kwenye Dam construction tungeweza kufua umeme wa kutosha au kukarabati TRC na TAZARA ingekuwa mbadala wa SGR na TRC wangepewa uwekezaji wa kujenga SGR hatua kwa hatua.Hata hivyo watawala hawana dhamira ya kuboresha vya Mwl J.K Nyerere ili wapige 10% za miradi mipya.
CCM wameifirisi Tanzania kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni level ya America German oman japan China India na mataifa mengineyo Tajiri zaidi na pengine hata kuwa na kura ya veto, kutokana na kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani
 
Zipo njia sahihi za kesheria za kutatua matatizo/changamoto za uchaguzi. Unapoona viongozi wakubwa was vyama vya siasa wanaanza kuhamasisha njia haramu hiyo ni ishara mbaya.

Kiongozi mzuri hawezi kuhamasisha umwagaji wa damu ili tuu yeye au mgombea wake aende ikulu.

Serikali ipo macho kuhakikisha amani inatamalaki
 
Back
Top Bottom