Elite Proof
Member
- Nov 12, 2019
- 22
- 15
Asienguliwe mtu, kuwe na usawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu unafikiri huwa wanajali au kufirkiria hayo wakiwa madarakani .... Ingekuwa hivyo basi tusingekuwa tunasikia vilio kila siku!!Jaji Kaijage is conscious of the legacy he will leave for himself, his offsprings and the country at large as the NEC chairman; he cannot afford to make a decision that will tear the country asunder!
Hawa watu unafikiri huwa wanajali au kufirkiria hayo wakiwa madarakani .... Ingekuwa hivyo basi tusingekuwa tunasikia vilio kila siku!!
MKANDAHARI said:
Ila Lissu sio mtu wa kawaida kabisa. hapa Lissu ndie anaetafutwa
Ni Membe mkuu, inasemekana uanachama wake bado haujamfanya kugombea nafasi yoyote ndani ya ACT
The problem these guys never learn. I wonder what's wrong with these guys ..... especially these CCM chaps. In fact a retired judge has nothing to loose and he does not need to impress Bwana Mkubwa ... ila kuna tatizo kubwa sana na Majaji wa nchi hii. Kwa mambo wanayoyafanya kwenye nafasi kama hizi mpaka una doubt kama kweli huwa wanatoa haki kwenye kazi zao za kawaida kama majaji. Anyway, watakufa na kihoro ....!!Kaijage akumbuke tu kuwa akifanya kazi yake kwa haki ataishi maisha salama na ya heshima baada ya kumaliza kazi yake; he should pick a leaf from JECHA who stole an election in Zanzibar and now he is living a miserable and pitiful life in a Zanzibar!!! Even those he helped steal the election have nothing to do with him!!!
Kwanini Magufuli ndio asipitishwe na hiyo Tume yake? Acheni Upumbavu aisee.Huu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
Bora kabisa tuoneZitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Mamba hayako ivyo kwa groundNEC mpaka sasa inajua mshindi ni nani inasubiri kumtangaza
Kabisa Mkuu, angalia hoja zinazotolewa na Paskali Mayala. Njaa mbaya sana.Jiwe kawafanya watu masikini ili wamuabudu
Ukishakuwa masikini huna akili, hata uwezo wa kuhoji unapotea
Hatutaki uonevu mnaokula kupitia CCM tambueni hiloHuu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
Wewe ndani ya nchi na CCM ni useless teethless dogKwahiyo anatuchimba mkwara kwamba ni lazima wagombee na lazima washinde?
Wewe comments yako tu inaonyesha Akili hauna nitashangaa sana ukiwa na Elimu maana uko too Emotional ndiyo maana huwezi kupewa cheo NECKama watakosa sifa wataenguliwa tu hakuna namna,halafu ningekuwa mimi msimamizi wa uchaguzi ningewaengua halafu mjaribu kuingia barabarani muone.
Naombeaga sana taka taka kama wewe utoke ata nje ya nyumba ya shangazi yako ugongwe na gari kiuno kipesuke tuone wewe na Lisu nani hajafa hajaumbika?Labda hoja kubwa aliyoitoa ni kutembea na shanga kiunoni Orr sory risas zaidi ya hapo ni utopolo mtupu.
Ficha Ujinga wako wajinafasi kwa kunyimwa uhuru wa kuongea kwenye media's?Hahahaha siasa za Tanzania sheeda, bila ccm siasa hazinogi, mlilalamika mmenyimwa uhuru wa kufanya siasa, sasa mmeachiwa mnakuja na ngojera mpya. Ccm imewaachia mjinafasi na pia imekaa kimyaaaaaaaaaa bado hamjaridhika.Kweli nimeamini bila ccm makini TANZANIA itayumba. SUBIRI tarehe 26/8/2020 ndiyo mtajua ukubwa na uimara wa ccm.Stay tuned
Flyover ina msaidia diamond na wasanii wa CCM kushoot video tuHali ilipofikia CCM wamechanganyakiwa, yaani pamoja kujenga flyovers na Kununua ndege ila wananchi hatuwataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Ma puppet wa mkoloni mweusiZito kabwe au kabwela[emoji28][emoji28][emoji28]
Ya kigoma yamemshinda atayaweza ya taifa kweli