Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Jaji Kaijage is conscious of the legacy he will leave for himself, his offsprings and the country at large as the NEC chairman; he cannot afford to make a decision that will tear the country asunder!
Hawa watu unafikiri huwa wanajali au kufirkiria hayo wakiwa madarakani .... Ingekuwa hivyo basi tusingekuwa tunasikia vilio kila siku!!
 
CCM mpango ushakamilika wa kumwengua Lissu; kwa kumtumia Jaji wa Tume ya Uchaguzi, Mahakama na Tume ya maadili ya viongozi wa umma ili kukamilisha mpango huo wa kishetwain.

Nakubaliana na Zitto; kata jina uchaguzi HAKUNA.
 
Hawa watu unafikiri huwa wanajali au kufirkiria hayo wakiwa madarakani .... Ingekuwa hivyo basi tusingekuwa tunasikia vilio kila siku!!

Kaijage akumbuke tu kuwa akifanya kazi yake kwa haki ataishi maisha salama na ya heshima baada ya kumaliza kazi yake; he should pick a leaf from JECHA who stole an election in Zanzibar and now he is living a miserable and pitiful life in Zanzibar!!! Even those he helped steal the election have nothing to do with him!!!
 
MKANDAHARI said:
Ila Lissu sio mtu wa kawaida kabisa. hapa Lissu ndie anaetafutwa

Ni Membe mkuu, inasemekana uanachama wake bado haujamfanya kugombea nafasi yoyote ndani ya ACT

Hapa ni membe kwani kwa sheria mpya ya vyama vya siasa nasikia wakisema bado atatimiza muda wa kisheria kuweza kugombea/kuwa mgembea kwa tiketi ya ACT.
 
Kaijage akumbuke tu kuwa akifanya kazi yake kwa haki ataishi maisha salama na ya heshima baada ya kumaliza kazi yake; he should pick a leaf from JECHA who stole an election in Zanzibar and now he is living a miserable and pitiful life in a Zanzibar!!! Even those he helped steal the election have nothing to do with him!!!
The problem these guys never learn. I wonder what's wrong with these guys ..... especially these CCM chaps. In fact a retired judge has nothing to loose and he does not need to impress Bwana Mkubwa ... ila kuna tatizo kubwa sana na Majaji wa nchi hii. Kwa mambo wanayoyafanya kwenye nafasi kama hizi mpaka una doubt kama kweli huwa wanatoa haki kwenye kazi zao za kawaida kama majaji. Anyway, watakufa na kihoro ....!!
 
Kwa kweli ajaribu tu kufanya huo UPUMBAVU, tutazichomelea mbali hizo ofisi za NEC. Wasituone tumekaa kimya wakadhani wanaweza kufanya lolote kisha tukaishia kulalamika tu, safari hii patachimbika.

NEC yenyewe imewekwa mfukoni na Rais, wasiwasi wa nini tena?
 
Huu pia ni uchozezi!

ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...

P
Kwanini Magufuli ndio asipitishwe na hiyo Tume yake? Acheni Upumbavu aisee.
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Bora kabisa tuone
 
Kama watakosa sifa wataenguliwa tu hakuna namna,halafu ningekuwa mimi msimamizi wa uchaguzi ningewaengua halafu mjaribu kuingia barabarani muone.
Wewe comments yako tu inaonyesha Akili hauna nitashangaa sana ukiwa na Elimu maana uko too Emotional ndiyo maana huwezi kupewa cheo NEC
 
Labda hoja kubwa aliyoitoa ni kutembea na shanga kiunoni Orr sory risas zaidi ya hapo ni utopolo mtupu.
Naombeaga sana taka taka kama wewe utoke ata nje ya nyumba ya shangazi yako ugongwe na gari kiuno kipesuke tuone wewe na Lisu nani hajafa hajaumbika?
 
Hahahaha siasa za Tanzania sheeda, bila ccm siasa hazinogi, mlilalamika mmenyimwa uhuru wa kufanya siasa, sasa mmeachiwa mnakuja na ngojera mpya. Ccm imewaachia mjinafasi na pia imekaa kimyaaaaaaaaaa bado hamjaridhika.Kweli nimeamini bila ccm makini TANZANIA itayumba. SUBIRI tarehe 26/8/2020 ndiyo mtajua ukubwa na uimara wa ccm.Stay tuned
Ficha Ujinga wako wajinafasi kwa kunyimwa uhuru wa kuongea kwenye media's?
 
Back
Top Bottom