Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hakuna Sababu za kuandamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki siyo hisani, ila inapiganiwa. "A right is always fought for through threats or physical confrontation".Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye maandamano ya kudai haki ya wagombea wao na usawa katika uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa.
Wakati tunaendelea na hatua zote za kisheria ( hatutaacha hata moja ) pia tunaunga mkono wito wa Mwenyekiti wa Chama Taifa @SeifSharifHamad na Mgombea wa @ChademaTz @TunduALissu kuandamana Nchi nzima kutaka wagombea wetu warejeshwe. @TumeUchaguziTZ iwe makini sana sana.
MY TAKE: Kudai haki ni jambo la lazima mahala popote pale duniani ambapo haki za wengine zinakandamizwa lakini vyama pinzani vinatakiwa kutambua kwamba vitisho dhidi ya serikali sio njia sahihi ya kudai haki.
Usichanganye mambo. CCM siyo Yanga. Au kwa kuwa Jezi za Yanga zinafanana na sare ya CCM?Labda Kama wataandamana huko Twita Ila siyo huku mtaani.
Sasahivi hatupoi leo tukishamaliza tu kukiwasha Dodoma tunahamia kesho kwa mkapa kuungana na timu ya Wananchi.
Sasa kwa jinsi Wananchi tulivyo busy na Mambo ya Furaha na mhimu kama haya tutapata Muda wa kuandamana kwa ajili ya upuuzi wa wachimia njaa Wachache tu.
Hatupo tayari mtusamehe.
Mtaandamana Twitter,Facebook na instagram au ?Maana sioni Mtanzania atakaeandamana.Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye maandamano ya kudai haki ya wagombea wao na usawa katika uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa.
Wakati tunaendelea na hatua zote za kisheria ( hatutaacha hata moja ) pia tunaunga mkono wito wa Mwenyekiti wa Chama Taifa @SeifSharifHamad na Mgombea wa @ChademaTz @TunduALissu kuandamana Nchi nzima kutaka wagombea wetu warejeshwe. @TumeUchaguziTZ iwe makini sana sana.
MY TAKE: Kudai haki ni jambo la lazima mahala popote pale duniani ambapo haki za wengine zinakandamizwa lakini vyama pinzani vinatakiwa kutambua kwamba vitisho dhidi ya serikali sio njia sahihi ya kudai haki.
Vipi mwenzetu? Hukuhitimu "KKK"?Ofa ya lowasa ilikuwa kubwa ila mkamdhalau sasa mna kibalaka wa beberu ambae mlimpigania na kumpa sifa kuliko wengine hapo ufipa, sasa cha moto mnakiona. Badala ya kutoa tambo za mafuliko yasiyo zuilika kwa mikono, sasa manapanga kufanya fujo, mmekata tamaa mapema sana hata jogoo halijawika?
Matamshi yenu ni ya hasira baada ya kuona hali jana.
Plei makamada.
KWA HIYO HIYO HAKI WAISUBIRI WALETEWE KWENYE SAHANI?Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye maandamano ya kudai haki ya wagombea wao na usawa katika uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa.
Wakati tunaendelea na hatua zote za kisheria ( hatutaacha hata moja ) pia tunaunga mkono wito wa Mwenyekiti wa Chama Taifa @SeifSharifHamad na Mgombea wa @ChademaTz @TunduALissu kuandamana Nchi nzima kutaka wagombea wetu warejeshwe. @TumeUchaguziTZ iwe makini sana sana.
MY TAKE: Kudai haki ni jambo la lazima mahala popote pale duniani ambapo haki za wengine zinakandamizwa lakini vyama pinzani vinatakiwa kutambua kwamba vitisho dhidi ya serikali sio njia sahihi ya kudai haki.
Lakini Tanzania tuna watu wenye uelewa wa hiki tunachozungumza? Wangapi wako radhi kuandamana?Hizo hatua za kisheri fanyeni tu kutimiza wajibu ila kwa tulipofika, maandamano ndio njia sahihi iliyobaki.
Mkuu nategemea utakuja na wife bila kukosa...Hizo hatua za kisheri fanyeni tu kutimiza wajibu ila kwa tulipofika, maandamano ndio njia sahihi iliyobaki.
Ombi langu mkuu kabla ya maandamano waainishe sababu zilizotumika kuwaengua wagombea hao. Ili basi Basi tuwepo kwenye same page and same pain Ila hii ya kutuambia tuandamane wakati hatuelezwi sababu slza msingi za kuandamana naona kunayo shida pahala.Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye maandamano ya kudai haki ya wagombea wao na usawa katika uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa.
Wakati tunaendelea na hatua zote za kisheria ( hatutaacha hata moja ) pia tunaunga mkono wito wa Mwenyekiti wa Chama Taifa @SeifSharifHamad na Mgombea wa @ChademaTz @TunduALissu kuandamana Nchi nzima kutaka wagombea wetu warejeshwe. @TumeUchaguziTZ iwe makini sana sana.
MY TAKE: Kudai haki ni jambo la lazima mahala popote pale duniani ambapo haki za wengine zinakandamizwa lakini vyama pinzani vinatakiwa kutambua kwamba vitisho dhidi ya serikali sio njia sahihi ya kudai haki.
Huwa nafuatilia topic zako huwa hupindishi ukweli.Mtanisamehe kwa wale ambao nitawakera ila kama kuna Mwanasiasa Mnafiki na ambaye si wa 'Kumuamini' kwa 100% ni huyu Zitto Kabwe wenu.
CCM wamekuwa wakiendesha siasa za hila. Mwanademokrasia hawezi kupoteza muda wake kumwengua mpinzani wake bali hutumia muda wake mwingi kushindana kwa kupigiwa kura.
Mara nyingi kiongozi wako akiwa ni mtu wa tabia fulani, na wafuasi wake humfuata.
Rais hajui demokrasia, hajui haki, siyo mcha Mungu bali ni muigizaji, wakati wote alipokuwa mbunge alikuwa akipita kwa hila bila ya kupigiwa kura na wapiga kura. Sasa ameondoka na hulka yake yote na kuiingiza ndani ya chama. Leo wafuasi wake, hata wale ambao mwanzoni walionekana kuwa ni timamu katika mambo mengi, wametekwa na matendo na tabia zisizo za kistaarabu za kiongozi wao. Wanashangilia na kukumbatia uovu.
Kufuata taratibu za kisheria ni kupoteza muda. Rais amenajisi mihili mikuu ya Jamhuri. Mahakama na bunge zimefanywa kuwa ni taasisi za Chama.
Wananchi ni lazima tuidai haki kwa nguvu. Na watu wajue kuwa njia za kistaarabu kuweza kufanya kazi endapo tu unakabiliana na mtu mstaarabu, siyo huyu wa sasa. Huyu ni kiongozi anayependa kutumia nguvu na mabavu, hawezi kuelewa mpaka na sisi tututmie nguvu na mabavu.
Zito usipoteze muda kufuata hizo taratibu za kisheria. Fanyeni kampeni kubwa nchi nzima hada kwenye miji yote angalao kwa siku 10 kwaajili ya kuiandaa kazi takatifu ya kujenga utawala wa sheria, haki na demokrasia. Baada ya hapo maandamano yaanze ya kumlazimisha Rais kutii katiba na sheria na kuacha siasa za hila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana kuna biashara zinafanyika.Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye maandamano ya kudai haki ya wagombea wao na usawa katika uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa.