Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wepesi wote huu, ungetakiwa uulize wakuu wako chamani, Kwanini waogope kuweka mpira dimbani? Kwanini wanabaka demokrasia kwa kutafuta usindi wamezani?Uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi sana.
Wapinzani wamechoka mapema sana wanapanga kuvuruga uchaguzi
Kuandamana kwa ajili ya majimbo 18 wakati Kuna viti zaidi 250 ni uamuzi wa hovyo sana
Ni dhahiri wapinzani wamegundua hawamuwezi Magufuli kwenye sanduku,wanatafuta kila mbinu ya kuharibu uchaguzi,ili ionekane wameonewa