Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

Kaka Zitto uchaguzi huu hakuna kujitoa na agenda kuu za kampeni ziwe mbili tu kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,wasipokubali hiyo tarehe 28 October inakuwa Sikh ya maandamano ya kudai katiba mpya na time huru ya uchaguzi,hakunana kupiga kura bila ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
ACT na Chadema naweza kuwaita vyama rafiki, ila visivyo na muungano.
 
Haki siyo hisani, ila inapiganiwa. "A right is always fought for through threats or physical confrontation".
 
Usichanganye mambo. CCM siyo Yanga. Au kwa kuwa Jezi za Yanga zinafanana na sare ya CCM?
 
Mtaandamana Twitter,Facebook na instagram au ?Maana sioni Mtanzania atakaeandamana.
 
Vipi mwenzetu? Hukuhitimu "KKK"?
 
Wakati nyie wenyewe mmeusika kuwaondoa wagombea wa Chadema
 
KWA HIYO HIYO HAKI WAISUBIRI WALETEWE KWENYE SAHANI?
 
Hizo hatua za kisheri fanyeni tu kutimiza wajibu ila kwa tulipofika, maandamano ndio njia sahihi iliyobaki.
Lakini Tanzania tuna watu wenye uelewa wa hiki tunachozungumza? Wangapi wako radhi kuandamana?
 
Ombi langu mkuu kabla ya maandamano waainishe sababu zilizotumika kuwaengua wagombea hao. Ili basi Basi tuwepo kwenye same page and same pain Ila hii ya kutuambia tuandamane wakati hatuelezwi sababu slza msingi za kuandamana naona kunayo shida pahala.
 
If this was successful submitted then nawashauri watu wahoji kwa Nini mtu kaenguliwa na sababu ziwekwe wazi, maana inaonekana hadi unborn wamepewa na wajumbe nafasi ya kuchukua na kujaza form. Na Mimi/ sisi wapiga kura sikubali uzembe wa tangu wajumbe, mpaka mteule utusumbue! Tupo kiakili awamu hii!
[emoji116][emoji3577]
 
Mtanisamehe kwa wale ambao nitawakera ila kama kuna Mwanasiasa Mnafiki na ambaye si wa 'Kumuamini' kwa 100% ni huyu Zitto Kabwe wenu.
Huwa nafuatilia topic zako huwa hupindishi ukweli.
Zake huwa anategea kila gape ili kujinufaisha binafsi.
Sasa anataka kuitumia chadema kukwea maana amegundua aliingia choo cha kike kwa uteuzi wa mgombea wa urais huku bara.
 

Bado upo kwenye madini?
 
Inasemekana kuna biashara zinafanyika.
Tujiulize vitu vya kufikirisha.Hivi nyie viongozi,sio chanzo cha haya matatizo?Mtu anajiunga CHAMA LEO,KESHO anachukuwa form ya kugombea,huyu kweli ni mkereketwa au mfanyabiashara?
Pili baada ya formu kuchukuliwa,kulikuwa na jitihada zo zote za wataalamu wenu wa sheria kuelekeza namna nzuri ya jizijaza?
Viambatanisho vinavyotakiwa kuambatanishwa kwa mujibu wa sheria za tume ya uchaguzi?
Kabla ya uchukuaji wa fomu si kunakuwa na semina endelezi kati ya vyama na tume ya uchaguzi?Mrejesho wa makubaliano ya semina hiyo,vinawafikiwa WAGOMBEA?
Angalini mambo ya msingi sio tu kuilaumu tume.
Kwa uwelewa wangu fomu hujazwa kwa mujibu wa sheria,na si huruma au chama.Mbona wagombea wote wa zamani fomu zao zimejazwa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…