Zitto Kabwe: Ubadhirifu wa 2020/21 ni mara mbili ya mwaka uliotangulia. Kulikuwa na ubadhirifu kwa jina la uzalendo

Mkuu, Mimi nafikiri ifike sehemu watuletee ushahidi hapa, watuambie Magufuli ana kiasi gani cha fedha kwenye account zake iwe nje au ndani ya nchi ambazo zilikuwa kinyume na mapato yake, lakini pia watueleze Mali anazomiliki ambapo pasi na shaka zithibitike zilitokana na wizi.

Siyo kila siku kutuletea ngonjera hapa, Serikali ya awamu ya tano ilitudhihirishia kuwa nchi yetu ni tajiri na inaweza kufanya mambo makubwa ukiwa na kiongozi kama Magufuli, hawa wengine waliotangulia na waliopo wameshindwa, kazi iliyobaki ni kufadhiri propaganda ili kututoa kwenye reli.
 
Kama Magufuli aliiba hivyo na bado akatuletea maendeleo yote yale; wao awamu ya nne hawakuiba mbona walishindwa kutufanyia chochote cha maana?
Bajeti ya 2020/2021 ilikuwa ni ya mwaka wa uchaguzi nina uhakika wa 100% wana CCM wengi wanajua walivyotumia pesa hizo kufanikisha uchaguzi, hapa hata namba moja atakuwa na ufahamu!!!


Lakini kingine bajeti hii JPM hakumaliza utekelezaji wake naamini kabisa kwa wakati ambao alikuwa anaumwa au baada ya kufariki lolote linaweza kutokea ikiwemo ubadhirifu huo!!!


Nashangaa ni kwanini anahusishwa yeye ni si waliomalizia utekelezaji wa Bajeti hiyo!!!

Pengine kuna jambo tusilolijua!’
 
Wautoe wapi sasa? 😁😁
 

Nenda WATUMISHI HOUSING wakuudumie flat la rent ya 150k pale Gezaulole uenjoy maisha
 
Mimi nimeshuhudia makubwa mengi ya ajabu.... Tushukuru uongozi ule ulikoma March 2021. Bila hivyo tungeongea mengine...
Magufuli was not fit for the biggest office ..
Alikuwa very poor in management skills
 
Aliyeondoka na aliyepo wote ni walewale hakuna mwenye nafuu
 
Mimi nimeshuhudia makubwa mengi ya ajabu.... Tushukuru uongozi ule ulikoma March 2021. Bila hivyo tungeongea mengine...
Magufuli was not fit for the biggest office ..
Alikuwa very poor in management skills
Nakubaliana na wewe kabisa
 
Kila nikimuangalia usoni huyu jamaa namuona ni mgonjwa jamani ni vema akapime naona uso umebabuka sijui ni joto kali
 
Hata kama Zito awe na matatizo gani, lakini anayoyasema dhidi ya utawala wa dikteta Magufuli ni sahihi.
Huyo jamaa ni mchawi tu kama walivyo wachawi wengine!

Alibaniwa ulaji ndio chanzo cha bitterness yote hio na nina hakika analipwa fair share kulipaka matope jina la JPM. Call him what you can ila jamaa atabakia kuwa the best president ever.

Alikuwa mbaya na mchungu kwa watu wa hovyo. Utawala huu ndio utakuwa mzuri kwa watu wa hovyo na yote yashakuwa dhahiri ndio maana mapambio hayaishi.

Aliyeiba 1.5T alifanya maajabu ndani ya muda mchache kuliko ambaye alifisadi nchi kwa miaka yote na kufuja kodi za wananchi.
 
Msema ukweli hata awe shetani anasema ukweli tu! tulichopigwa kwa miaka mitano ni zaidi ya kashfa zote kwa pamoja! toka tupate uhuru, Escrow+EPA+RICHmond+ all <Magucorruption scandle/
 
Sina la kuongeza hapa mkuu, umeyasema yote.
Hapa kwetu ni kinyume kabisa na hayo yaliyompata 'JoBo', hapa kwetu mbunge anayeleta kihelehele huko bungeni kumsema mkubwa ndiye atakayepata cha mtema kuni.

Hivi kweli kwa tabia zetu hizi za kinafiki, kuna siku moja na sisi tutafikia hatua ya kuwaona hawa miungu wetu kuwa ndio wanaopaswa kutuheshimu sisi wananchi na si kinyume chake?
 
Mfumo mbovu wa CCM
 
Kama magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aliua uchumi,viwanda,biashara,mapato yalishuka,inadaiwa alifisidi fedha thamani ya trillion 10, swali,hizo fedha zilitoka wapi wakati biashara na viwanda vilikuwa vimekufa? Hizo fedha alipeleka benki ipi,tunaomba ushahidi wamiamala ya hizo fedha zilizotoka na kuingia,mbona kagoda,escrow, IPTL,nk tulikuwa tunaonaeeeeee hizo kelele Ni mwamvuli was kukinga uovu na wizi unaopigwa Sasa na ufujaji unaoendelea Sasa ,kajibwa kamepata mnofu kanajihami kwa kutimua vumbi
 
Yapi
 
Walaaniwe kabisa taasisi zote zakifedha zinazoipa Tanzania mikopo na misaada na nchi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…