Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Mzee wa fursa.
 
Anawanqnga TEC
 
Mi mlutheli ila mpaka mtu mdini kama zitto kabwe ambaye hapendi ukristo hata kidogo ,anakusifia.., JUA KUNA MAHALI KUNA SHIDA KKKT
Unaweza thibitisha Kwa evidence chuki yake Kwa ukristo?..au..wapi alisema hapendi ukristo?
 
KKKT hii inayoongozwa na afisa kipenyo,haina tofauti na Bakwata tu
Bakwata ilianzishwa na Serikali yenyewe…uhusiano pekee ni kwny lile jukumu walilojipa la kutangaza kuanza na kumalizika mwezi Mtukufu wa Ramadhan…zaid ya hapo hakuna uhusiano wowote mwingine
 
πŸ€“ Ajabu sana. Maoni ya hovyo tena ya kidini na kibaguzi kutoka kwa mtu makini na kiongozi wa chama
Kwanini kusifiwa KKKT na Zitto kwako iwe tafsiri ya ubaguzi?amewabagua kina nani?....wahindu,?waislam?wayahudi??...waliobaguliwa hapa no kina nani?
 
Zito alikuwa na lengo moja tu, kuwananga TEC, hiyo Taifa stars na KKKT wametumika kama njia ya kufikisha ujumbe na hawapo kabisa kwenye kichwa chale.
 
Zitto alisha ishiwa akili siku nyingi. Ni mdini na mshirikina, alishasema atamgeuza mtu kuwa panya.
Sijakuelewi. Yaani KKKT ni adui wa Taifa Stars? Au tuseme waliwaombea mabaya kama ule Waraka wa Maaskofu?

Pia kumbuka Askofu Shao alimwambua Rais: "Mheshimiwa Rais tuko na wewe. Mheshomiwa Rais tunakuombea?

Anachosema Mhe Zitto ni kuwa KKKT wapewe sifa kwa kuliombea Taifa bila ya kusema kuna wengine nao wanastahilu sifa. Kuna Kocha wao, dereva wa Bus kwenda Airport, na ndege Ethiopian Airlines iliyowapeleka, na Dr Tarimo aliyekuwa nao muda wote, na wake zao, wazazi wao.

Huwezi kumtaja kila mtu.
 
Anakula ruzuku ACT anavimbiwa hataki mabadiliko yoyote!!
Huwa namtambua Kwa uchawi, udini na ubinafsi!! Sijawahi kumuona anachangia kujenga mskiti/kanisa au kusaidia yatima au hata wajane kule kigoma kwenye hali ngumu!!
MKONO WA BIRIKA.. πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…