Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Ameona atumie njia hii kuleta chuki baina ya KKKT na TEC......Hakuna KKKT anayeunga mkono mazingaombwe yanayoendelea.
 
Popote alipo Mpendwa wetu Zitto Kabwe namtangazia Ubatizo kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu na Mungu wa mbinguni ambariki sana

Kuitambua na Kuitangaza Injili ya Yesu Kristo katika Dunia ya Leo ni Jambo kubwa sana Mungu wa mbinguni mbariki Zitto Kabwe

Yesu alisema, Enendeni Ulumwenguni Mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe mkiwafundisha na Kuwabatiza Kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu amen!
 
Kumbe KKKT kweli wanatumika na serikali ya Samia kuifichia maovu yake, kusifiwa na ndumilakuwili wa sampuli ya Zitto kunalishushia heshima hilo kanisa, wala hapo tusidanganyane.

Nitasimama na wale wasiojua wala kuukumbatia unafiki siku zote, TEC wamesimama wakahesabiwa, tunaojielewa tumewaelewa.
 
Kanisa Moja Takatifu la Mitume

Zitto Kabwe PhD yake anasomea Ujerumani kwa msaada wa KKKT

RIP Samwel Sitta
 
Aliyo yasema ni ya kweli kabisa....na watu wengi wasiofungamana na upande wowote wanatambua hilo, shida pekee hapo huo ukweli umekaa kichochezi na unabomoa zaidi kuliko kujenga.
 
Aliyo yasema ni ya kweli kabisa....na watu wengi wasiofungamana na upande wowote wanatambua hilo, shida pekee hapo huo ukweli umekaa kichochezi na unabomoa zaidi kuliko kujenga.
Ameshamwalibia mkkkt Dr Mwigulu PhD πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŒŸπŸ”₯
 
Shida ipo wapi katika kauli hiyo? Mi sioni cha kujadili hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…