Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Usaliti ni mbaya sasaMwamba ruyagwa anadhani mpaka Leo bado anabamba .
hivi mara ya MWISHO ametembelea bonn ilikuwa lini ?
Ugumu wake nini?Hii vita ni ngumu kweli
Fisadi Sethi ndiyo anamrudisha mjiniZitto anataka kurudi mjini
Na Seth karudi kwenye madili, kazi kweli kweliZitto anataka kurudi mjini
Hata zitto ni kibaraka wa mafisadiFisadi Sethi ndiyo anamrudisha mjini
Inasikitisha sanaUfisadi wa awamu hii unaweza kuwa mkubwa kuliko awamu zote.
Muda mi mwalimu mzuri sana!
Atulie kwanza nchi nzima leo akili ipo viunga vya mahakama Kisutu atapoteza viewers ajifunze timingZito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ,serikali mpya chini ya Rais Samia harakaharaka ilimwachia huru fisadi Seth na kumlipa billion 348 kinyume kabisa na maazimio ya bunge na kinyume kabisa na hukumu ya mahakama ya rufaa Tanzania, ambapo mihimili yote hiyo ilitaka Habinder Seth achukuliwe hatua kali kutokana na ufisadi alioufanya wa kuliingiza hasara taifa mabilioni ya pesa.
Kutokana na fisadi Seth kulelewa na kupetiwapetiwa na serikali ya Rais Samia, sasa amefikia hatua ya kumfungulia Zito Kabwe kesi mahakamani na kumdai fidia ya bilioni 248 kwa kosa la kumchafua mitandaoni kwamba ni fisadi wa IPTL.
Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
View: https://youtu.be/tJcrm3gVyOI?si=Z4zQv6n2mvOCIiDU
Ni wakati muafaka kwa waandishi wa habari kumhoji Tumbili analizungumziaje hili.Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
Zito haaminiki. Watawala wamwogope kwa lipi🤣🤣🤣🤣🤣Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ,serikali mpya chini ya Rais Samia harakaharaka ilimwachia huru fisadi Seth na kumlipa billion 348 kinyume kabisa na maazimio ya bunge na kinyume kabisa na hukumu ya mahakama ya rufaa Tanzania, ambapo mihimili yote hiyo ilitaka Habinder Seth achukuliwe hatua kali kutokana na ufisadi alioufanya wa kuliingiza hasara taifa mabilioni ya pesa.
Kutokana na fisadi Seth kulelewa na kupetiwapetiwa na serikali ya Rais Samia, sasa amefikia hatua ya kumfungulia Zito Kabwe kesi mahakamani na kumdai fidia ya bilioni 248 kwa kosa la kumchafua mitandaoni kwamba ni fisadi wa IPTL.
Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
View: https://youtu.be/tJcrm3gVyOI?si=Z4zQv6n2mvOCIiDU
Tumbili anakula kwa urefu wa kamba zakeNi wakati muafaka kwa waandishi wa habari kumhoji Tumbili analizungumziaje hili.
- Ana msimamo kama ule wa nyakati zile?
- Anaunga mkono mtazamo wa Chura?
- Anaunga mkono mtazamo wa kaka yake Zito?
Kipimo cha uzalendo wake ni hapoTumbili anakula kwa urefu wa kamba zake
Ni mihimili 3Kwanini asema watawala wakati mtawala ni mmoja tu?