MhPaka wa kigoma....hatabiriki
HahahaAmeguswa anatoa milio.
Nitoke vp hio inaitwaZitto anataka kurudi mjini
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ,serikali mpya chini ya Rais Samia harakaharaka ilimwachia huru fisadi Seth na kumlipa billion 348 kinyume kabisa na maazimio ya bunge na kinyume kabisa na hukumu ya mahakama ya rufaa Tanzania, ambapo mihimili yote hiyo ilitaka Habinder Seth achukuliwe hatua kali kutokana na ufisadi alioufanya wa kuliingiza hasara taifa mabilioni ya pesa.
Kutokana na fisadi Seth kulelewa na kupetiwapetiwa na serikali ya Rais Samia, sasa amefikia hatua ya kumfungulia Zito Kabwe kesi mahakamani na kumdai fidia ya bilioni 248 kwa kosa la kumchafua mitandaoni kwamba ni fisadi wa IPTL.
Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
View: https://youtu.be/tJcrm3gVyOI?si=Z4zQv6n2mvOCIiDU
HUYU JAMAA MCHUMIA TUMBONI YAAN KIPINDI KILE YUKO PAC KULIKUWA NA KASHFA KAMPUNI MOJA WANAHIFADHI PESA ZA WAFANYAKAZI KATOKEA AKAITETEA HE GAFLA KAJAA JAMAA KUMBE WAMEMKOPESHA MAMILION YA MKOPO KAMA SI NSSF PSSF SINA HAMUNAEZito haaminiki. Watawala wamwogope kwa lipi🤣🤣🤣🤣🤣
Sio unaweza.Ufisadi wa awamu hii unaweza kuwa mkubwa kuliko awamu zote.
Muda mi mwalimu mzuri sana!
Anajitahidi kufufukaZitto kisiasa ameshakufa kabisa
SawaKweli Siasa na wanasiasa ndio Kansa ya hili taifa...
Watu badala ya kuangalia issue at hand na authenticity yake ya huyu Fisadi kulipwa na upuuzi uliofanyika mnamuongolea Zitto na usaliti wake....
Even a Broken Clock is Right twice a day na tusiangalie anasema nani bali kinasemwanini ? Zaidi ya hapo tutaendelea kuwa Cheerleaders na kushangaa Matukio
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ,serikali mpya chini ya Rais Samia harakaharaka ilimwachia huru fisadi Seth na kumlipa billion 348 kinyume kabisa na maazimio ya bunge na kinyume kabisa na hukumu ya mahakama ya rufaa Tanzania, ambapo mihimili yote hiyo ilitaka Habinder Seth achukuliwe hatua kali kutokana na ufisadi alioufanya wa kuliingiza hasara taifa mabilioni ya pesa.
Kutokana na fisadi Seth kulelewa na kupetiwapetiwa na serikali ya Rais Samia, sasa amefikia hatua ya kumfungulia Zito Kabwe kesi mahakamani na kumdai fidia ya bilioni 248 kwa kosa la kumchafua mitandaoni kwamba ni fisadi wa IPTL.
Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
View: https://youtu.be/tJcrm3gVyOI?si=Z4zQv6n2mvOCIiDU
Inasikitisha sanaIle hela ya plea bargaining aliyotoa Habinder awamu ya tano awamu ya sita wamemrudishia.
Kushughulikia fisadi siyo kukurupukaZitto ameamua kumchongea Singasinga kwa awamu ya sita, tena anatumia maneno ",wanamwogopa" lazima watakurupuka!