johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
ExactlyHivi ndio kwao pale panatazamana na Open University?

Ni kama mijadala ya kuisema CHAUMMA kupokea wanachama waliotoka CHADEMA, ambapo CHAUMMA kinabagazwa na kuonekana chama dhaifu na kisichofaa na pia kinakosea kuwapokea G55 wakati mkakati wa chama cha siasa ni kuwa na wanachama wengi bila kujali wanatokea wapi.Wakati mwingine kuwafungua macho Watanzania unaweza ukajijutia,unaweza kujitoa mhanga na wakakuacha peke yako na Adui akaibuka mshindi.Tupo kwenye jamii ya Watu tusiojua hata tunataka nini.Mjadala hapa ni ufisadi wa Seth na waliopo nyuma yake,sasa ni vipi Mtu huguswi na mabilioni yanayopotea unakimbilia kumsema Zito.Kama una ya kusema kuhusu Zito fungua uzi au subiri uzi wa hayo.Hapa tujadili tunavyodhulumiwa na Watawala huku mamilioni ya Watanzania wanateseka. Huwa nahisi kuna Watu huamua tu kuhujumu uzi.
Basi hata mimi nimecheza nae mitaa ile😄, nafikiri walikuwa na umiliki pia wa jengo pale pembeni ya kanisa KKKT Jamat In street (uhindini)Exactly
Inasikitisha sanaNyuma ya Seth Kuna mzee mmoja hasiezeeka nilishangaa Magufuli kushidwa kummaliza hata kwa sunu huyu Seth
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ,serikali mpya chini ya Rais Samia harakaharaka ilimwachia huru fisadi Seth na kumlipa billion 348 kinyume kabisa na maazimio ya bunge na kinyume kabisa na hukumu ya mahakama ya rufaa Tanzania, ambapo mihimili yote hiyo ilitaka Habinder Seth achukuliwe hatua kali kutokana na ufisadi alioufanya wa kuliingiza hasara taifa mabilioni ya pesa.
Kutokana na fisadi Seth kulelewa na kupetiwapetiwa na serikali ya Rais Samia, sasa amefikia hatua ya kumfungulia Zito Kabwe kesi mahakamani na kumdai fidia ya bilioni 248 kwa kosa la kumchafua mitandaoni kwamba ni fisadi wa IPTL.
Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
View: https://youtu.be/tJcrm3gVyOI?si=Z4zQv6n2mvOCIiDU
Inasikitisha sanaHao ndiyo wenye nchi kwa sasa. Hajasikia STATE CUPTURE .... The Axis of evel ni Seth, Rostam, GSM, Asasi ..... fill the dots.
Zito Kabwe nae akamatweMwamba ruyagwa anadhani mpaka Leo bado anabamba .
hivi mara ya MWISHO ametembelea bonn ilikuwa lini ?
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth.
Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ,serikali mpya chini ya Rais Samia harakaharaka ilimwachia huru fisadi Seth na kumlipa billion 348 kinyume kabisa na maazimio ya bunge na kinyume kabisa na hukumu ya mahakama ya rufaa Tanzania, ambapo mihimili yote hiyo ilitaka Habinder Seth achukuliwe hatua kali kutokana na ufisadi alioufanya wa kuliingiza hasara taifa mabilioni ya pesa.
Kutokana na fisadi Seth kulelewa na kupetiwapetiwa na serikali ya Rais Samia, sasa amefikia hatua ya kumfungulia Zito Kabwe kesi mahakamani na kumdai fidia ya bilioni 248 kwa kosa la kumchafua mitandaoni kwamba ni fisadi wa IPTL.
Zito Kabwe ameapa kuuzika huu mzoga unaoitwa IPTL na ameonya kuwa atamuumbua kiongozi yoyote wa serikali anayeshirikiana na Habinder Seth kuliibia taifa la Tanzania. ZITO KABWE amesema safari hii haponi mtu na hataangalia usoni wala kuangalia rangi ya mtu.
View: https://youtu.be/tJcrm3gVyOI?si=Z4zQv6n2mvOCIiDU
Sethi tumecheza wote cha ndimu pale mitaa ya General Tyre nyuma ya Isimila hotel 😁
Zitto Kabwe kazi anayo kwa Huyu Singa mnyalu 🐼
Kitambo sana 😂Vaculag
Inasikitisha sanaMachaka ya kuaminika ya kuhamisha pesa toka serikalini kwenda kwenye siasa chafu. Watawala hawana meno kwenye mianya ambayo na wao wanakula zaidi. Wanachoweza kusimamia kwa nguvu kubwa ni kama kufungia Kanisa la Gwajima, nguvu kubwa inatumika kwa vitu vidogo vidogo, lakini hilo la upigaji sijui
KivipiKimemlamba 😁😁😁