Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

Untouchable
 
Zito haaminiki. Watawala wamwogope kwa lipi🤣🤣🤣🤣🤣
HUYU JAMAA MCHUMIA TUMBONI YAAN KIPINDI KILE YUKO PAC KULIKUWA NA KASHFA KAMPUNI MOJA WANAHIFADHI PESA ZA WAFANYAKAZI KATOKEA AKAITETEA HE GAFLA KAJAA JAMAA KUMBE WAMEMKOPESHA MAMILION YA MKOPO KAMA SI NSSF PSSF SINA HAMUNAE
 
Hii kesi ni ya Zitto na jamaa zake kuonyesha kwamba zitto apendelewi na awamu ya sita. HAKUNA KESI NI UHUNI wa Zitto na Awamu ya sita. Pili kuondoa watu kwenye kesi za maana kama za akina TAL. Zitto acha uhuni, tunajua wewe unafanya tu drama.
 
Kweli Siasa na wanasiasa ndio Kansa ya hili taifa...

Watu badala ya kuangalia issue at hand na authenticity yake ya huyu Fisadi kulipwa na upuuzi uliofanyika mnamuongolea Zitto na usaliti wake....

Even a Broken Clock is Right twice a day na tusiangalie anasema nani bali kinasemwanini ? Zaidi ya hapo tutaendelea kuwa Cheerleaders na kushangaa Matukio
 
Sawa
 
Hawamuogopi. Wanataka alipwe hela wagawane na hao mafisadi wanaomlea
 
Ile hela ya plea bargaining aliyotoa Habinder awamu ya tano awamu ya sita wamemrudishia.
 
Sidhani kama wana muovopa. Bali nionavyo mimi, wana taka wapitishe pesa za wizi kwake. Sasa wana mtumia huyu kalasinga kwa manufaa yao.
 
Zitto ameamua kumchongea Singasinga kwa awamu ya sita, tena anatumia maneno ",wanamwogopa" lazima watakurupuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…