Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

Ni kama mijadala ya kuisema CHAUMMA kupokea wanachama waliotoka CHADEMA, ambapo CHAUMMA kinabagazwa na kuonekana chama dhaifu na kisichofaa na pia kinakosea kuwapokea G55 wakati mkakati wa chama cha siasa ni kuwa na wanachama wengi bila kujali wanatokea wapi.
 

Hao ndiyo wenye nchi kwa sasa. Hajasikia STATE CUPTURE .... The Axis of evel ni Seth, Rostam, GSM, Asasi ..... fill the dots.
 
Machaka ya kuaminika ya kuhamisha pesa toka serikalini kwenda kwenye siasa chafu. Watawala hawana meno kwenye mianya ambayo na wao wanakula zaidi. Wanachoweza kusimamia kwa nguvu kubwa ni kama kufungia Kanisa la Gwajima, nguvu kubwa inatumika kwa vitu vidogo vidogo, lakini hilo la upigaji sijui
 
Hawamuogopi bali ni washirika wake katika biashara ya kuifisadi Tanzania
 
Kimemlamba 😁😁😁
 
Inasikitisha sana
 
Zitto Kabwe Acha kuishambulia chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…