Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Zitto ni mzito yule mbunge wa Lindi Muthihili ana mengi ya kusimulia
 
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ndio mnaamini katika Mungu sio katika sheria? Mbona kwenye corona mlikuwa mnaamini katika lockdown na sio Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanasiasa wanatufanya sisi watumwa wa kufikiri

Wakilipwa posho hawatwambii tule pamoja wakipata majanga wanataka mlie nao

Dunia ni pango la wanyany'anyi wa fikra
 
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakumbuka maombi wakati kumekucha yeye si alitaka misikiti na makanisa yafungwe kwa Corona aombe mwenyewe
 
Zzt hawezi kufungwa..
Kesi yake ni kutakatisha mabaya waliyo fanyiwa chadema.
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania gani unaowazungumzia hapa, binafsi namuombea dua MBAYA na mahakama itende haki pasipo kuangalia ye ni nani.
Kwa hiyo kwako haki kwa Zitto ni atiwe hatiani, afungwe? Watu wanaoombea mabaya wenzao kwa sababu za itikadi za kisiasa wana laana!
 
Kwa hiyo kwako haki kwa Zitto ni atiwe hatiani, afungwe? Watu wanaoombea mabaya wenzao kwa sababu za itikadi za kisiasa wana laana!
Sheria ni msumeno, wakati akitenda uharifu hakujua haki yake ni kufungwa, faini au vyote kwa pamoja? kama wananchi wangeamini uongo wake wakaamua kujibu mapigo unajua nini kingetokea? anafaidika nini kuchochea machafuko ya kisiasa nchini? APATE HAKI YAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende jela kama amefanya makosa

Wakati mnafanya makosa huwa mnajifanya mpo juu ya sheria

Maji ya kiwafika shingoni ndio mnakumbuka kuna Watanzania wa kuwaombea!

Kijana wao huyo awawezi mfungu unless wana plann ya kumfunga mtu mkubw akupita yeye ili baadae waseme mbona na fulani kafungwa.
 
Mungu daima usimama na wanao onewa

In God we Trust
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono. Kitendo cha Zitto kudai watu mia wameuwa ni kuwaonea Watanzania kwa kuwapa habari za uongo akijua sio kweli. Kweli Mungu atasimama na Watanzania na atatoa Hukumu ya Haki!!!!
 
Dua la kuku halimpati mwewe
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono. Kitendo cha Zitto kudai watu mia wameuwa ni kuwaonea Watanzania kwa kuwapa habari za uongo akijua sio kweli. Kweli Mungu atasimama na Watanzania na atatoa Hukumu ya Haki!!!!
 
Akafungwe tu, hakuna namna!. Hana maana kabisa mtu huyo.
 
Mtu anaongea uongo tu muda wote. Eti watu 100 waliuliwa.
Juzi juzi karopoka tena kuwa eti watanzania milioni moja, sawa na wananchi wote wa mkoa wa Njombe, wanasubiri kufa kwa sababu serikali imekataa kufanya lockdown na kuthamini uchumi badala ya maisha. Kwa hili nalo lazima aburuzwe mahakamani na kupewa adhabu kali.
 
Back
Top Bottom