Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani kuna ajabu gani?Makamanda tujitokeze kwa wingi mahakamani siku hiyo.
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna ajabu gani?Makamanda tujitokeze kwa wingi mahakamani siku hiyo.
Huku ndio mnaamini katika Mungu sio katika sheria? Mbona kwenye corona mlikuwa mnaamini katika lockdown na sio Mungu?Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).
Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187
Sent using Jamii Forums mobile app
✓Sasa ivi hakuna makamanda, na kumebaki wasalitiMakamanda tujitokeze kwa wingi mahakamani siku hiyo.
Anakumbuka maombi wakati kumekucha yeye si alitaka misikiti na makanisa yafungwe kwa Corona aombe mwenyeweKila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).
Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).
Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwako haki kwa Zitto ni atiwe hatiani, afungwe? Watu wanaoombea mabaya wenzao kwa sababu za itikadi za kisiasa wana laana!Watanzania gani unaowazungumzia hapa, binafsi namuombea dua MBAYA na mahakama itende haki pasipo kuangalia ye ni nani.
Sheria ni msumeno, wakati akitenda uharifu hakujua haki yake ni kufungwa, faini au vyote kwa pamoja? kama wananchi wangeamini uongo wake wakaamua kujibu mapigo unajua nini kingetokea? anafaidika nini kuchochea machafuko ya kisiasa nchini? APATE HAKI YAKE.Kwa hiyo kwako haki kwa Zitto ni atiwe hatiani, afungwe? Watu wanaoombea mabaya wenzao kwa sababu za itikadi za kisiasa wana laana!
Aende jela kama amefanya makosa
Wakati mnafanya makosa huwa mnajifanya mpo juu ya sheria
Maji ya kiwafika shingoni ndio mnakumbuka kuna Watanzania wa kuwaombea!
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono. Kitendo cha Zitto kudai watu mia wameuwa ni kuwaonea Watanzania kwa kuwapa habari za uongo akijua sio kweli. Kweli Mungu atasimama na Watanzania na atatoa Hukumu ya Haki!!!!Mungu daima usimama na wanao onewa
In God we Trust
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono. Kitendo cha Zitto kudai watu mia wameuwa ni kuwaonea Watanzania kwa kuwapa habari za uongo akijua sio kweli. Kweli Mungu atasimama na Watanzania na atatoa Hukumu ya Haki!!!!
Kumbe huyu dogo mropokaji anakabiliwa na kesi?!Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).
Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi juzi karopoka tena kuwa eti watanzania milioni moja, sawa na wananchi wote wa mkoa wa Njombe, wanasubiri kufa kwa sababu serikali imekataa kufanya lockdown na kuthamini uchumi badala ya maisha. Kwa hili nalo lazima aburuzwe mahakamani na kupewa adhabu kali.Mtu anaongea uongo tu muda wote. Eti watu 100 waliuliwa.