ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
Screenshot_20230224-131633.jpg
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326
Hivi wewe ndo ulikuwa chinembe?
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326
Hili jini saliti ndiyo linaanzisha uchochezi! Hivi ZZK unawashwaga kuwasaliti wenzio kama msaliti afanyavyo kwa watoto wachanga??
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326

Alikuwa Lipumba na Chadema kuelekea Magomeni.

Hii rehearsal nyingine itakuwa kuna shughuli ya ACT mahali. 🤣🤣

Bila chachandu za Chadema haya mengine ni kujidanganya bure:

FpbIYBHXwAAehTp.jpeg

Ninakazia:

Chadema ni Kiki.
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326
Nakumbuka baada ya zitto kuanza mchakato wa kukataa posho ya kiti ya kila siku pale bungeni lema alimpinga sana akisema ile ni baraka kutoka kwa Mungu ,mchaga kwenye pesa anaweza kumgeuka kila mtu hata kuuwa lema anaweza ilimradi pesa iwepo

USSR
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326
Unajua kwenye habari za uhai wa mtu,hakuna masihara,ushujaa wa shujaa huonekana pale tu uhai ukiiwepo,hivyo haifai kuleta unaa kwenye habari ya uhai.Walio kwenye hatari hawakosekani wa kuwaokoa.Hivyo mleta mada na andiko lako,lengo lako ni kupotosha na sio kufikisha habari kama unavyo jaribu kujiaminisha🤔
 
ZZK si wa kumwamini
kwani Wewe ulikuwa hujui kuwa uki qualify kuwa Mkimbizi wa Kisiasa kuna fedha unalipwa ? hujajiuliza kwanini Lissu katangaza kurudi ku renew visa yake ya ukimbizi wa kisiasa?, umesahau Mbowe aliwahi kutangaza hadharani kuwa Halima Mdee aliposaliti kuwa Mbunge wa viti maalum alimwita akamueleza kuwa aachane na nafasi hiyo na yeye atamtafutia fursa kama ya Lema?

vijana wa kitanzania mnaishi kwny kisiwa cha peke yenu sana
 
Back
Top Bottom