ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

imageszit.png
 
Na mbinu hizo zilizotumiwa na hizo balozi za nje, ndizo mbinu zinazoangusha dola dhaifu za watu weusi kwa kuwa hakuna kabisa Taifa lolote la watu weusi wanalolipenda mabeberu eti liondokane na umasikini wake!

Kwa lugha hii ya shekhe Zitto, inadhihilisha kuwa kumbe nchi hii haikuwa na haijawahi kuwa na wakimbizi wa kisiasa nchini bali ni mbinu za wazungu kuendelea kutowapenda viongozi weusi wenye nia ya kuzikomboa nchi za watu weusi na Africa kwa ujumla

Halafu nisikie mtu anasema eti utawala uliopita ulizalisha wakimbizi wa kisiasa?

wazungu pumbavu zenu kabisa, nanyi watu weusi mnaopenda cha bule pumbavu zenu kabisa!
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326
Mhhhh! Tuhuma nzito sana hizi
 
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!

Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.

Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
View attachment 2528326
Are you sure this tweet is from him???because this will show that he’s sunken really low unfortunately it’s Tanzania he must really hungry.
 
kwani Wewe ulikuwa hujui kuwa uki qualify kuwa Mkimbizi wa Kisiasa kuna fedha unalipwa ? hujajiuliza kwanini Lissu katangaza kurudi ku renew visa yake ya ukimbizi wa kisiasa?, umesahau Mbowe aliwahi kutangaza hadharani kuwa Halima Mdee aliposaliti kuwa Mbunge wa viti maalum alimwita akamueleza kuwa aachane na nafasi hiyo na yeye atamtafutia fursa kama ya Lema?

vijana wa kitanzania mnaishi kwny kisiwa cha peke yenu sana
Mbowe hakusema atamtafutia Mdee nafasi kama ya Lema, alisema angemtafutia Mdee nafasi kwenye mashirika makubwa ya kimataifa, na akataja hadi kiasi cha mshahara ambao Mdee angeweza kuupata, ulichoandika hapo umepotosha.
 
Nakumbuka baada ya zitto kuanza mchakato wa kukataa posho ya kiti ya kila siku pale bungeni lema alimpinga sana akisema ile ni baraka kutoka kwa Mungu ,mchaga kwenye pesa anaweza kumgeuka kila mtu hata kuuwa lema anaweza ilimradi pesa iwepo

USSR
Lisu naye aliwahi kuulizwa msimamo wake kuhusu posho lukuki wanazolipwa wabunge huku wananchi wanaowakilishwa wakiwa hoi; jibu la lisu lilikuwa kuwa pesa wanayolipwa ni ndogo sana akilinganisha na pesa aliyokuwa anatengeneza kabla ya ubunge.

Haya ni matapeli tu, hamna kitu.
 
Back
Top Bottom