ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

Na mbinu hizo zilizotumiwa na hizo balozi za nje, ndizo mbinu zinazoangusha dola dhaifu za watu weusi kwa kuwa hakuna kabisa Taifa lolote la watu weusi wanalolipenda mabeberu eti liondokane na umasikini wake!

Kwa lugha hii ya shekhe Zitto, inadhihilisha kuwa kumbe nchi hii haikuwa na haijawahi kuwa na wakimbizi wa kisiasa nchini bali ni mbinu za wazungu kuendelea kutowapenda viongozi weusi wenye nia ya kuzikomboa nchi za watu weusi na Africa kwa ujumla

Halafu nisikie mtu anasema eti utawala uliopita ulizalisha wakimbizi wa kisiasa?

wazungu pumbavu zenu kabisa, nanyi watu weusi mnaopenda cha bule pumbavu zenu kabisa!
 
Mhhhh! Tuhuma nzito sana hizi
 
Are you sure this tweet is from him???because this will show that he’s sunken really low unfortunately it’s Tanzania he must really hungry.
 
Mbowe hakusema atamtafutia Mdee nafasi kama ya Lema, alisema angemtafutia Mdee nafasi kwenye mashirika makubwa ya kimataifa, na akataja hadi kiasi cha mshahara ambao Mdee angeweza kuupata, ulichoandika hapo umepotosha.
 
Nakumbuka baada ya zitto kuanza mchakato wa kukataa posho ya kiti ya kila siku pale bungeni lema alimpinga sana akisema ile ni baraka kutoka kwa Mungu ,mchaga kwenye pesa anaweza kumgeuka kila mtu hata kuuwa lema anaweza ilimradi pesa iwepo

USSR
Lisu naye aliwahi kuulizwa msimamo wake kuhusu posho lukuki wanazolipwa wabunge huku wananchi wanaowakilishwa wakiwa hoi; jibu la lisu lilikuwa kuwa pesa wanayolipwa ni ndogo sana akilinganisha na pesa aliyokuwa anatengeneza kabla ya ubunge.

Haya ni matapeli tu, hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…