ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

Kwa hiyo shida iko wapi sasa
 
Km ni kweli hayo maneno katamka ZITTO
Inamaana kwa namna fulani ameanza kumkubari magufuri kuwa MABEBERU hawatupendi sio MARAFIKI wezi MAJAMBAZI wa RASIRIMALI zetu
Ni WACHOCHEZI waliokuwz wanataka kutujaribu kutugawa KITAIFA kwa kutuaminisha MAMBO mengi ya KUONYESHA utawala wa MAGUFURI haukuwa mnzuri Kwa kiasi ambayo sivyo ilivyo

Soon hasa WAPINZANI wataanza kumREFER MAGUFURI kwenye HOTUBA zao chunguza katika MANENO yao wanakwepesha NENO MAGUFURI lkwa mazuri yake
Lkn muda si muda wataanza kuwa wazi mana km kumuelewa kwa jinsi NCHI invyokwenda washamuelewa MAGUFURI alikuwa KIONGOZI wa namna gani na Kwann alikuwa anaipelkea NCHI Mpelampela HAPA KAZI TU

Bwana ZUBERY alikuwa MZARENDO ulikataa kununuriwa na MABEBERU kwa VIPANDE VYA FEDHA
 
Hapo Zito umechemsha nafikiri unaenda kubaya kama Lipumba.
 
Hakika nimekuelewa SAS

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Upotoshaji huu. Siasa za kitoto na majitaka! Lissu alishatamka hadharani kuwa hakuwa mkimbizi wa kisiasa bali alikuwa Ubelgiji kwa matibabu na ukaazi. Hali hiyo ilimwezesha kuwa huru kuja nyumbani wakati wowote na kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…