Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Acha kukwepesha maneno. Aliyeleta hasara katika hili ni Rais Magufuli. Kabudi ni bomba tu la kupitishia matakwa ya Magufuli. Hata kwenye korosho, hali ni hiyo hiyo!!!Toka mwanzo nilijua kuwa kwa makosa waliyoyafanya awamu hii, ili kuwarudisha wawekezaji, ni lazima serikali italazimika kuleta vivutio kwa wawekezaji vingi kuliko tawala zilizopita.
Katika masuala ya madini, kwa ujumla, mara nyingi nimesema ni serikali iliyopoteza. Barrick hawajawahi kupata hasara tangu kampuni ianze kutokana na umakini wa watu wao. Falsafa ya Barrick inasema, 'Every best person must work with Barrick'. Kabudi na nadharia zake za darasani, kamwe asingeweza kuwashinda Barrick. Kuna wakati nilisema kuwa hasara aliyoileta Kabudi kwenye sekta ya madini, haipimiki. Kuielezea inahitaji topic inayojitegemea.
Unajidanganya. Serikali iliyo tayari kuua au kupoteza raia wake ili
mradi mambo yake yasjulikane, unawezaje kusema imejipambanua kulinda rasilimali!!!? This is the worst government ever to exist in this country!!!
Rudi ndani ya mada, pamoja na hilo ukitaka kuwashughulikia watu kuwa straight acha kupita pembeni nafuata utaratibu...Mpinzani wa kupinga. Yeye (Zito) awamu ya nne ndiye alikuwa mstari wa mbele kusema kuwa kinana ni mwizi mkuu wa rasilimali za taifa. Kuwa ni jangiri maarufu wa meno ya tembo. Ajabu hivi sasa yeye ndiye mtetezi mkubwa wa Kinana. Hivi huyu binadamu ni binadamu wa aina gani?
Hapana hakuna laana ni ugumu na ubinafsi wa viongozi swala la nchi linageuzwa la watu wawili...Kama ni kweli basi nchi hii imelaaniwa!
Kwani kuna ugumu gani?Unafikiri kuongoza nchi ni kama vile kufundisha darasa la shule ya vidudu wewe.
Kwa hiyo kuongoza nchi ni kuua watu wanaokosoa na kutaka makosa ya kijinga yasirudiwe!!?Unafikiri kuongoza nchi ni kama vile kufundisha darasa la shule ya vidudu wewe.
Kweli Mungu awalinde, "Tunaibiwa kwenye Sheria" Mh Tundu Lissu Mungu akupiganieAsante sana ndugu Zitto kwa kutufunua macho.
Kilichobaki ni jukumu letu sisi wa Tanzania wenye uchungu na nchi yetu na wala sio wale wanaosema wanatetea wange.
Mungu ataendelea kuwalinda wote mnaotetea raslimali za nchi hizi kwa ukweli bila ya kua na malengo nyuma ya pazia.
Viva Zitto viva Lissu!
Mangungo hatumtaki arudi kwao!
Jamaa anataka kututoa nje ya mstari maana leo rafiki(mzee wa Bumbuli mdogo) clip yake ina trend sana.
Tuwekee taarifa ya serikali hapa kuhusu makubaliano yaliyofikiwa!Wamefanya siri wapi? Sheria yenyewe inakataa usiri how possible upande mmoja wafanye siri wakati ni makubalano ya pande mbili. Mbona mnachanganyikiwa mapema hivi zikiwa ni mvua tu za rasharasha bado masika yenyewe kuwanyea kisawasawa.
Acha uvivu soma vizuriZitto hayo makubaliano umeyaonea wapi.
Zawadi gani mkuu?Wako watu wenye kuwaona wenzao mabogus kwelikweli, ukitafakari ile zawadi mama mtu aliyo pendekeza huyo chambo wa familia yao atunikiwe.
Tuwekee taarifa ya serikali hapa kuhusu makubaliano yaliyofikiwa!