Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Kwani Polepole anasemaje juu ya hili Paskall Mayalla mtamsumbua bure hii kazi ya Polepole Lusinde na msukuma hawa ndowatatoa msimamo wa chama Na jawabu sahihi kwa Mchochezi ZZK .Najua Musiba hajapata mkataba ila ashajua nani kampa zitto hizi siri Tusubiri clip za maongezi yao yavuja.
 
Tuweke sheria kuwa MTU akitoa taarifa za uongo makusudi akamatwe na kutupwa jela miaka 2!!
Hakuna atakaye Baki huko serekalini !!!!
Kitu Cha kweli wanachozungumzaga ni majina yao tuuu !!!!!!
 
Wewe umeona ameongea ya Kinana mijinga mingi injiiii, utakuwa Kibajaji au Msukuma
 
Mkuu Mhe. Zitto, kwanza asante kwa bandiko hili na uzalendo wako kwa nchi yako. Kwa vile mimi ni miongoni wa wana jf ambao tumeandika sana kuhusu hili, nitachangia baadhi ya vipengele with reference ya nilisema nini, nilishauri nini na kulinganisha na kilichotokea ni nini, but with due respect, na wasiojua ligha ya Malikia, ni kwa heshima na taadhima, tuwe wakweli toka ndani ya nafsi zetu, tuache urongo na upotoshaji, just tell the truth and the truth will set you free, sii kweli kuwa mkataba huu umeisha sainiwa!, hilo neno (INITIALED) sio kuonyesha kuwa umesainiwa, bali katika mikataba, kunatakiwa signatories watie initials zao kwenye kila page ya draft kuonyesha wameelewa, lakini draft ni draft na mkataba ni mkataba!, ku INITIALED sio kusaini.

Hicho kiambanisho 4 ni draft, na mimi nimekiweka kwenye bandiko langu la tangazo la kifo cha Acacia
na nikasisitiza,
hatuwezi kusema kila kitu mpaka baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, na nikasisitiza kwenye makinikia kuna lakini sikuiweka hiyo lakini kwa sababu bado hatujaona makubaliano yaliyofikiwa, as of now hayo ni mapendekezo tuu, yaani draft, siku zote drafts zote huwa ni tentative, inaweza kubadilika, hivyo naomba kusisitiza katika hili tuwe wakweli, tutumie ukweli, tuache urongo!.
Asante.
P
 
Zitto ametafsiri alichokisoma kwa namna livyoona yeye japo sivyo ilivyo katika uhalisia wake. Msioelewa Kiingereza na/au misamiati/lugha ya uwekezaji katika tasnia ya uziduaji mtachotwa sana na hekaya hizi za akina Zitto.
Mkuu tupe na wewe tafsiri yako,yawezekana una mengi mazuri matamu
 
Naona umeumia mkuu au vp
 
Tanzania Imekosa Shilingi Trilioni 2 kwa Sababu ya Viongozi Kukosa Maarifa
Viongozi wa hii nchi (Chama chakavu) hawajawahi kuwa na hayo Maarifa kwenye masuala ya kodi au uwekezaji labda hujuma za kisiasa dhidi ya wapinzani.
 
Mh zito tulisha kuzoea wewe ni bingwa wa kutoa taharuki, unajua lakini hutaki kusema kwanini makubaliano yako hivi ila unataka kucheza na akili za watanzania. Sisi tunao kujua hautupi shida.
 
Mh zito tulisha kuzoea wewe ni bingwa wa kutoa taharuki, unajua lakini hutaki kusema kwanini makubaliano yako hivi ila unataka kucheza na akili za watanzania. Sisi tunao kujua hautupi shida.
Unataka kutuambia kuna sababu ya ku-justify haya makubaliano ya kimangungu?!!!
 
Unataka kutuambia kuna sababu ya ku-justify haya makubaliano ya kimangungu?!!!
Salary slip wewe ni member mkongwe humu mh zito anajua kwanini ipo hivyo. angetueleza na upande Wa pill kwanini ipo hivyo iwe balanced. Inaingia kweli akilini rais aliyekataa kusaini mradi Mkubwa wa bagamoyo leo hii uamini kama rais kasaini mkataba wa kimangungo, kama ni hivyo watanzania kuna kazi kubwa ya kusugua brain zetu, ambazo kwa brashi ya kawaida haitoshi labda brashi waya ndiyo inaweza kufaa
 
Duu kwa hiyo unathibitishwa kuwa ujinga wa watz ndo mtaji wa chama chakavu aka policcm tuna safari ndefu sana nchii hii
 

Kinana ameingiaje kwenye maada inayojadiliwa hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…