We jamaa jisikie aibu! Aweke doc wakati ipo kwenye website ya Acacia?! Hivi nyie watu mmerogwa, au?!Shida ya huyu jamaa ni mpotoshaji mkubwa kwanini haweki hiyo doc kwa hewa
Hila zao zimefeli hawa ndo walikuwa madalali wa ACACIA
Kwa aliekiona kiambatanisho namba 4 msaada tafadhalini.Kiambatanisho namba 4 kimeweka muhtasari wa kinachoitwa ‘Material Terms’
Kiongozi ukisoma ile ripoti unaweza usiamini! Nakumbuka mara ya kwanza niliisoma asubuhi ya leo lakini niliishia njiani kwa kudhani ile ripoti ambayo nilifowadiwa ni fake hadi baadae kabisa nilipokuja kui-verify na kuona kumbe ipo kwenye website yao!
Full Report hiyo hapo juu! Summary of Material Term inapatikana kuanzia page ya 65Kwa aliekiona kiambatanisho namba 4 msaada tafadhalini.
Kosa si la ndugu Zitto, kosa ni la hao wanaokataa kupata ushauri mapema sana kutoka kwa akina Zitto, na hata wakina TAL. Sasa tatizo unakuja kukutana lao mwishoni, je hapo ni nani wa kulaumiwa? Na uwe una kumbukumbu sahihi pia ile Panel ya watu wa majadiliano ilifichwa na haikutakiwa kujulikana, je unaweza jiuliza ni kwa nini?Zito huo no ujinga kwani kama unge yasema hayo kabla ya hili sekeseke kufika note huku ungepata hasara gani.?
Sasa unaongea sahizi tuta kusaidiaje?
Auwewe unafurahi tukikosea we we ukosoe uonekane Wa maana sisi tupate hasara tuwe tayari tumeliwa!.nimekudharau kuanzia Leo!
Basically kinachoelezewa kwenye dispute resolution agreement ni ‘stabilisation clause’ hawa watu wameanza biashara ya uwekezaji kwenye natural resources before nchi nyingi kupata uhuru, zikiwa hazina wataalamu na wakajifunza pia mambo ubadilika baada ya uhuru na uelewa wa serikari katika hayo maswala.Kama mnadhani Zitto anadanganya, moja ya vipengele alivyoelezea hapo juu document inasema:-
Maelezo hayo yapo kwenye kipengele cha Dispute Resolution! Mnaona hapo ni namna gani endapo itatokea kushindwa ku-solve any dispute, basi issue itapelekwa mbele in accordance to UNCITRAL Conciliation Rules, na sisi, of course, citizens of arguing parties hawatakuwepo kwenye team!
Sasa kama tunatarajia huko mbele watu wata-resolve issues kwa kuzitangatia maslahi yetu basi tuna safari ndefu!
Kuhusu 16% ya shares zetu kuwa Class B Shares, makubaliano yanasema:-Haki za Class A and Class B Shareholders zimeelezewa kwenye Shareholders Agreement, lakini Zitto aliposema kwamba hizo shares zetu huwezi kuziweka hata kuwa dhamana ni kutokana na kipengele kinachosema:- Suala la kwamba lile sharti la Tanzania kumiliki 30% akina Kabudi na Magu wameliuza kwa Wazungu, makubaliano yanasema:- Kwahiyo hiyo 16% itaendelea kubaki hivyo hivyo! Vipi kuhusu suala la kusafirisha madini nje? Makubaliano haya hapa:-Kumbe wanayo unfettered rights ya kusafisrisha madini na makinikia nje ya nchi hadi pale tutakapokuwa na uwezo wa kufanya refining and smelting ndani ya nchi!
Kama ndivyo, kwanini basi tusiwalazimishe hawa Barrick wajenge mtambo wa kuchenjua makinikia hapa hapa Bongo ili wasiendelee kutupiga changa kwa kusafirisha makinikia nje ya nchi?! Makubaliano yanatoa jibu kwa hilo swali, kwamba:-Kwahiyo ndugu yangu french badala ya kukejeli kwamba watu wa humu ni wavivu wa kufikiri, ungefanya maarifa kwanza kuisoma hiyo doc! Sio lazima Zitto akuletee kwa sababu ipo kwenye website ya Acacia lakini ni ndefu, ina 91 pages!
Mkuu Bome-e, maelezo ya sehemu ya ripoti ni hayo hapo juu, na kisha ayaone Mkuu Tangawizi aliyehoji kwenye uzi mmoja kwanini naamini Barrick ndie wameshinda bila kumsahau ruaharuaha!!
Mkuu Pascal Mayalla anapita kama haonimkuu Pascal Mayalla njoo huku bana, mh Zitto anavuta sharubu zako!
"Mkwepa Kodi" unaheshimika humu. Jadili hoja iliyopo mezani , acha u 'spin doctor'Tatizo mheshimiwa unatumiwa na wazee wastaafu wa CCM kuufanya mgogoro ndani ya CCM uonekane wa kitaifa, tutakudharau muda si mrefu
tume ilitengeneza professorial rubbish
..tuliaminishwa kwamba Tundu Lissu ni msaliti.
..na alipaswa kutangulizwa au kuuwawa.
..Je, kati ya waliosaini makubaliano haya na Tundu Lissu, yupi ni msaliti kwa nchi hii?
..aliyesaini makubaliano haya ni kibaraka wa mabeberu na barrick au ni mzalendo?
Cc Pascal Mayalla, Mag3
Naona umeleweshwa na post za Mayalla za kusifia Sifia tuLink please!!!
Plus original document ya haya uliyoyaainisha hapa tujiridhishe .......
Ashaitwa sana ila hatokei,sijui Pascal Mayalla amekumbwa na nini?