Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Keep Dreaming Bro.

October 28 ni CCM 5 tena
 
EU tathimini yao ya siku 15 za kampeni Tanzania CCM itashinda si chini ya 81%. Lissu anaenda kuwa mgombea wa upinzani aliye vunja rekodi ya kupata asilimia kidigo tangu nchi hii ingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Na hii itaonesha uropokaji na upayukaji bila maarifa si njia sahihi ya kuomba kura.
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?....
Watu same hang any ilia a aisee! Upinzani wamepoteana, toka chama cha kupinga ufisadi, vimegeuka vyama vya kupinga maendeleo na kutetea wazembe na mafisadi bila kusahau beberus
 
Ondoa neno EU weka Beberu
 

Basi upo uwezekano mkubwa tu kuwa kuna 'Wanasiasa' hivi sasa wanaugua 'Uwendawazimu' mkubwa ila bado hawajajitambua ili wakatibiwe pia.
 
Inawezekana kweli, membe si ndo alileta system ya kupigia Kura, akili kumukichwa.
 
Daaah! Amechanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Wewe ndiyo umechanganyikiwa,majibu ya Zitto mbona clear kabisa. Mnataka mjibu Yale kwamba amejitoa na anamuunga mkono Fulani ili muwatumie Msajili na NEC kufanya yenu.

Unafikiri Lissu alienda bure kwenye mkutano wa ACT,zingine zilikuwa ni diversion tu ili muwaache wote mkitegemea wagawane kura.
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya. Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?...
Seriously! 😂😂
 
Kuendelea kwa B.M kuna faida nyingi katika kugawa kura kuliko hasara!

Mtakieni kheri tu aendelee! [emoji3][emoji3]
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya. Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?...
DUUU🤣🤣🤣

Kumbe Bashiru Katibu mkuu CCM kasema kweli.Hizo ni dalili za mwanzo kabisa na za wazi za kuanza kuokota makopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…