Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Hii nzuri sn
 
Jibu murua kabisa hili
 
Mkuu umesikika vyema, sasa je weweza orodhesha hizo dharau angalau mbili?
Mimi naanza na "Baadhi ya Wawaziri wangu ni wapumbavu"
Kumbuka heshima zinatoka pande zote mbili

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hadithi hii kakufundisha nani?!
 
Watathimini kuwa kuna uwizi wa kura upi. Labda kutoka asilimia 81 kwenda 96% ambazo ndizo ninazo ona kama JPM ushindi wake ukipungua ndizo atakakazo zipata. Ila kama hali itaendelea kama Tabora leo Lissu atapa 1% ya kura za urais wa JMT.
Umeelewa hoja? Hao EU kesho wakiwaita madikteta msigeuke kuwananga kuwa ni mabeberu.

Hizo ni takwimu tu kutokana na respondents waliohoji siwezi pinga ila margin of error kwa sample ndogo ni kubwa sana. Ila wakipiga kura watu million walau 10 ndio margin of error inakua ndogo na uhalisia unakua wazi kabisa.

So subiri okt 28 majibu yote utapata
 
Hawaelewi strategy nyuma ya majibu ya Zito. Membe ni smokescreen ya kuwazubaisha CCM! All along candidate ni Lissu!
Mtu hazidi hata watu 50 kwenye mikutano yake ndio unaita smoke screen,

Ila JF tunapigana kamba sana.
 
Hii habari kwa kinacho endelea tuwe makini Sefu alicho tamka kumuunga Lisu kuna kitu kinaendelea na Polepole kumtaja Jk ,Kinana,Nape
 




hio imeishaisha mapema, apa tunawaza sasa awe raisi wa milele
 
Nahisi wanapigaa chenga tume ya uchaguzi na mafisiemm...hawachelewi..kuleta goal LA mkono,...muungano wao na chadema ya kumsupport RAIS mtarajiwa TAL isifeli

angalia tu usije pata presha baadae
 
Wakati wa utawala wake, Amini wa Uganda alikua ni maarufu sana kwa kutuma telegrams; Zito yeye ni maarufu sana kwa kuandika na kutuma barua. Nadhani baraza hilo la Membe litakuwa linatuma barua nyingi sana kwa siku.
 
Mbona mnahangaika

na mwisho kabisa, hongereni kwa kumsimamisha lissu, kulikua hamna choice ingine upinzani maanaa ndo aliebaki mwenye ushawishi, ingawa hali ndo ile ile uchaguzi mwaka huu mtapata kura chache zaidi ya mbowe alivogombea, na hakuna mnachoweza kufanya kuokoa jahazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…