Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Hatutaki kupiga kura siku moja kabla, yale yale ya 2015 ya kuelekezwa tuandike namba zetu za vitambulisho vya kupigia kura, siku ya kupiga kura unaenda kupiga kura unaambiwa tayari ulishapiga.

Kwa wingi wetu polisi na jeshi la wananchi tunasema Sasa hivi hatutaki maelekezo, tunasimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi!

Hatuwezi kuwadhulumu ndugu zetu watanzania kisa kulinda maslahi ya watawala, watanzania ni ndugu zetu, tupo nao pamoja!

Hata 2015 tulisimamia uchaguzi na bado kura tulipiga(kwa wale tuliokaidi maelekezo ya kuandika namba za vitambulisho), sasa mwaka huu kimebadilika nini hadi tupige kura siku moja kabla?

Elfu 60 za kusimamia tutazichukua, Watanzania watapiga kura, hakuna figisu itakayotokea vituoni, nyeusi itaitwa nyeusi, nyeupe itaitwa nyeupe,

#MAAGIZOKUTOKAJUUSASABASI!!
Usikute we jamaa ni mwanafunzi mwaka wa pili pale UDSM na unaandika comment hii kutoka hostel za Magufuli
 
Umesahau mwaka 2015 Chadema na CUF waliungana tena chini ya Ngoyai akiwa kwenye peak, na bado CCM iliibuka kidedea?
Yaani unamfananisha lissu na ngoyai anayehutubia sekunde mbili amemaliza na mashine kama lissu anayeweza kutema cheche hata siku nzima bila kunywa hata maji??? Jitafakari aisee
 
Yaani unamfananisha lissu na ngoyai anayehutubia sekunde mbili amemaliza na mashine kama lissu anayeweza kutema cheche hata siku nzima bila kunywa hata maji??? Jitafakari aisee
Mkuu tuweke mkeka. Kwenye uchaguzi huu Lissu hapati zaidi ya asilimia 10%. Kama unabisha,

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Kuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Kila jambo na wakati wake na kila jambo na ujira wake kuna wakati kupanda na wakati wa kuvuna,wakati wa kulia na wakati wa kucheka hakuna lililo siri chini ya jua Mungu ni wetu sote
 
Kama nilivyosema muda siyo lrafiki kwa hawa ndugu zetu, wangetaka hivyo wangefanya kabla hata ya kuchukua hizo fomu huko NEC. Sasa kila mtu kesha chukua, je NEC ikiwapitisha wote watafanyaje na sisi mfumo wetu sio kama wa Kenya kuwa mnaweza kufanya Coalition baada ya kukubaliana namna ya kugawana hizo nafasi za ulaji na uongozi? Anyway tusubiri tuone.
Unateuliwa na tume hata kama hukurejesha fomu? Hata kama ndio hizo amri kutoka juu kweli zinaenda hivyo. I don't think so.
 
Kwa asilimia 100 nilishaamini kuwa CCM tutaing'oa 2015 lakin haikuwa ivyo, MKAPA akafanya yake magu akapita. Sina hakika kwa msimu huu kama tutachukua kiti..

Hii nchi ilibidi iwe na vyama viwili tu vyenye nguvu na ushawishi kama ilivyo USA lakin sio kwa style hii vyama viingi kama ikulu kuna biashara. DRC kipindi ile kulikuwa na vyAma zaidi ya 40's vya kisiasA.
Wakati kila chama pinzani kinataka kukamata dola chenyewechenyewe, CCM wanawaangaliaaa wanasema hihihiii
 
Kama nilivyosema muda siyo lrafiki kwa hawa ndugu zetu, wangetaka hivyo wangefanya kabla hata ya kuchukua hizo fomu huko NEC. Sasa kila mtu kesha chukua, je NEC ikiwapitisha wote watafanyaje na sisi mfumo wetu sio kama wa Kenya kuwa mnaweza kufanya Coalition baada ya kukubaliana namna ya kugawana hizo nafasi za ulaji na uongozi? Anyway tusubiri tuone.
Bado inawezekana mbona mwema na Cheyo wamesema wao wanamuunga mkono JPM hivyo wakipanda kujwaa moja Membe atakuwa anamnadi Lisu
 
Slow slow but sure...
Endeleeni kuwashwa washwa.
Mkuu, bado sijaachana nawewe, nipo nawe hadi unipe jibu la msingi!

Ni nini madhara ya mtu kusimamia sheria, kanuni taratibu na maadili ya kazi aliyoapa kusimamia?
Mgambo katika ubora wako
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png

Lakini kumbuka kazi yako ni kukamata mkaa, hii kazi nyingine utachoka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tu kwa details nikufahamishe japo kwa uchache, depo yangu ni F2, (P.F yangu itabaki siri), depo ni mwaka 2000's
Usikute we jamaa ni mwanafunzi mwaka wa pili pale UDSM na unaandika comment hii kutoka hostel za Magufuli
Kuwa na heshima mtoto!
Nimemaliza degree ya kwanza mwaka 2001, nimeingia kazini mwaka 2002, nina miaka 18 kazini sasa! Nadhani huu ni umri wako kwa sasa. Nimejiunga jamiiforums 2007 ukiwa bado upo chekechea unalilia ubuyu.
 
Wataweza kwer......? Kushindana nas...? Hata wakiungana...? Matusi kututukana.....!!!
 
Back
Top Bottom