Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Miaka mitano tena ya Mwl Dokta mkemia Magufuli mkali wa lugha duniani.
Hahahaaaa...... Mkali wa lugha duniani huku anaogopa kusafiri kwa sababu ya lugha anasingizia uzalendo😂😂😂😂😂

Tangu lini kutosafiri nje ikawa ni moja ya uzalendo?

Sana sana hizo ni dalili za woga, kutojiamini na madikteta wote wanafanya hivo ili kujitenga na dunia
 
Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Kwanini waue?? Watu washakua tamed sa hv ......acha apayuke tu atakaeapishwa anajulikana
 
Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Nyie mnajipa moyo....you know what watanzania wanachagua mtu mchapa kazi na mtetezi

Note: huyo TL atakuwa rais wa humu Jamii Forum 😆 but out there watanzania huwaambii chochote kuhusu JPM

Am afraid even if they join they won't make it.
 
Huyo ndio atapata kura kiduchu mpaka mtadhani mmeibiwa. Huyu anajulikana kwenye ya mitandao ya jamii tu
Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
 
Fanyeni haraka hayo mazungumzo kwani siku ya Uteuzi ya NEC ni in the next seventeen days. Si muda mrefu hasa ukizingatia na kutilia maanani kuwa Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe anautaka Urais kufa na kuzikana!
Hakuna kitu
 
Hakuna kitu
Hamna kitu maana yake nini!?Hukuona Membe na Lissu tayari ni wagombea wawili tofautu? Huo Umoja uko wapi!?Halafu hata huyo mgombea wa CHADEMA, si juzi kasema muungano au Umoja at that level hauwezekani. Tena kwa vile ni mwanasheria,akajificha chini ya kivuli cha sheria badala ya kusema yeye na Membe wanautaka huo urais kufa na kupona na kufa na kuzikana (kama nilivyosema siku za zilizopita). Tusubir tutaona na kusikia mengine mengi.
 
Bado chance ipo tusubiri pingamizi
 
Zitto ni muongo sana
Ukitaka kuthibitisha unafiki wa Zitto angalia jinsi wagombea wake kutoka ACT pale jimbo la ubungo walivyo kubali kutumika na ccm kuwawekea mapingamizi wagombea wote wa cdm.
 
Safari hii kampeni itafanywa bila jasho, maana hakuna upinzani ati.
Jiwe sasa hivi yupo tuition ya kuzungu ili amkabili Lissu kwenye kujibu hoja.

Mmeamua kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada?
 
Back
Top Bottom