NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ngoja tuone kama jiwe lina mdomo wa kuongea!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za mchanaSawa!
Naamini kabisa CHADEMA na ACt wakiungana CCM lazima ichomoke...!!
Ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho yake.Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Wapiga kura watanzania wanajua kiingereza Toka lini.Jiwe sasa hivi yupo tuition ya kuzungu ili amkabili Lissu kwenye kujibu hoja.
Mmeamua kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada?
Ndiyo maana mnawakimbiaga wageni wa kimataifaWapiga kura watanzania wanajua kiingereza Toka lini.
We huoni wakina msukuma na Kinajaji wanapita na ni lasaba, wapiga kura hawahitaji viingereza wanahitaji utatuzi wa shida zao.
Kwa hiyo muungano hakuna kamanda??Zitto ni zaidi ya mnafiki wa siasa mkubwa sana.
Muungano siyo lazima awepo Zitto maana kuna vyama vingi tu.Kwa hiyo muungano hakuna kamanda??
Mbona 2015 alipo kataa kujiunga na ukawa hukuulizia?Kwa hiyo muungano hakuna kamanda??
Chama kilikuwa kichanga, mwaka huu kimeinukaMbona 2015 alipo kataa kujiunga na ukawa hukuulizia?
Akweende zake huko kwao mwandigaChama kilikuwa kichanga, mwaka huu kimeinuka
Hata waungane na wote pamoja na wala ubwa hawashindiSawa!
Naamini kabisa CHADEMA na ACt wakiungana CCM lazima ichomoke...!!