Hahahaaaa...... Mkali wa lugha duniani huku anaogopa kusafiri kwa sababu ya lugha anasingizia uzalendo๐๐๐๐๐Miaka mitano tena ya Mwl Dokta mkemia Magufuli mkali wa lugha duniani.
Kwanini waue?? Watu washakua tamed sa hv ......acha apayuke tu atakaeapishwa anajulikanaLowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Ni kichapo mpaka jiwe lipasuliweHaina kuremba
Nyie mnajipa moyo....you know what watanzania wanachagua mtu mchapa kazi na mteteziLowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Hakuna kituFanyeni haraka hayo mazungumzo kwani siku ya Uteuzi ya NEC ni in the next seventeen days. Si muda mrefu hasa ukizingatia na kutilia maanani kuwa Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe anautaka Urais kufa na kuzikana!
Zitto ni muongo sanaEndelea kujisomea vitabu vya histora labda utapunguza maumivu. Uchaguzi wa mwaka huu siyo kama wa 2015
Hamna kitu maana yake nini!?Hukuona Membe na Lissu tayari ni wagombea wawili tofautu? Huo Umoja uko wapi!?Halafu hata huyo mgombea wa CHADEMA, si juzi kasema muungano au Umoja at that level hauwezekani. Tena kwa vile ni mwanasheria,akajificha chini ya kivuli cha sheria badala ya kusema yeye na Membe wanautaka huo urais kufa na kupona na kufa na kuzikana (kama nilivyosema siku za zilizopita). Tusubir tutaona na kusikia mengine mengi.Hakuna kitu
Bado chance ipo tusubiri pingamiziHamna kitu maana yake nini!?Hukuona Membe na Lissu tayari ni wagombea wawili tofautu? Huo Umoja uko wapi!?Halafu hata huyo mgombea wa CHADEMA, si juzi kasema muungano au Umoja at that level hauwezekani. Tena kwa vile ni mwanasheria,akajificha chini ya kivuli cha sheria badala ya kusema yeye na Membe wanautaka huo urais kufa na kupona na kufa na kuzikana (kama nilivyosema siku za zilizopita). Tusubir tutaona na kusikia mengine mengi.
Chance gani?Bado chance ipo tusubiri pingamizi
Imekuwaje leo?Haya ndio mambo tunayotaka kuyasikia.
Haya kiko wapi sasa?Haya ndio mambo tunayotaka kuyasikia.
Kwani Ilikuwa imechomeka wapi ,Sawa!
Naamini kabisa CHADEMA na ACt wakiungana CCM lazima ichomoke...!!
Safari hii kampeni itafanywa bila jasho, maana hakuna upinzani ati.Kuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Tambua dunia haisimami acha kukariri
Ukitaka kuthibitisha unafiki wa Zitto angalia jinsi wagombea wake kutoka ACT pale jimbo la ubungo walivyo kubali kutumika na ccm kuwawekea mapingamizi wagombea wote wa cdm.Zitto ni muongo sana
Zitto ni zaidi ya mnafiki wa siasa mkubwa sana.Tambua dunia haisimami acha kukariri
Jiwe sasa hivi yupo tuition ya kuzungu ili amkabili Lissu kwenye kujibu hoja.Safari hii kampeni itafanywa bila jasho, maana hakuna upinzani ati.