Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Mkuu hunijui, sikujui, nina barua zaidi ya 3 kila mwaka za maonyo toka 2015,(pengine idara yenu mnaita karipio)na tupo wakaguzi na maafisa zaidi ya watano wenye maonyo haya haya, so sijajua umelenga nini kwenye swali lako, funguka "mtumishi"
Hongera kwa barua hizo za maonyo, zijazo zitakuwa ni kubwa kuliko.
 
Kuna tatizo la msingi hapa!

Kwamba kusimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi niwe sure of what am doing????? Mna tatizo kwenye hiyo idara!

Shame on u!
Mbona unakomaa na idara, kwani hizo barua unauhakika zimetoka katika idara hii unayoitaja kila wakati acha hasira. Fuata kanuni za utumishi wa umma hasa idara yako ya police kama investigators.
 
Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Lowasa huyo huyo asiyejua kumwaga sumu alizidi asilimia alizopata Dr Slaa 2010!

Ina maana Lowassa alimwaga sumu kuliko Dr Slaa?
 
Mwaka 2015 nilimparamia lowasa nikawapigiaa kura kuanzia rais,bunge,na diwani.ajabu wote wamerudi ccm safari hii ctokwenda kufanaya hvyo siku hyo nitakula zang bia kavu kavu.
 
Lowasa huyo huyo asiyejua kumwaga sumu alizidi asilimia alizopata Dr Slaa 2010!

Ina maana Lowasa alimwaga sumu kuliko Dr Slaa?
Lowassa alichafuliwa fisadi,mgonjwa. Ukizingatia alikuwa hawezi kuongea na kujitetea na kumwaga Sumu. Lowassa angekuwa kwenye hali nzuri ya kuongea,angeshinda.
 
Kuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Endelea kujisomea vitabu vya histora labda utapunguza maumivu. Uchaguzi wa mwaka huu siyo kama wa 2015
 
Fanyeni haraka hayo mazungumzo kwani siku ya Uteuzi ya NEC ni in the next seventeen days. Si muda mrefu hasa ukizingatia na kutilia maanani kuwa Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe anautaka Urais kufa na kuzikana!
Hapo labda Zitto atataka awe waziri mkuu. Wizara wanagawana vipi. Any way waelewane tu.
 
Kuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Baada ya kutangazwa mshindi kwa mh Lissu na kuapishwa naona utakuwa wa kwanza kupanda kwenye Nyahunge express kurudi uliko zoea
 
Kwa Tanzania bara ni mh Lissu tu na ndiye anaenda kuandika historia mpya kwa kuwa mtu wa kwanza kuiangusha ccm baada ya miaka 60 ya utawala wa manyanyaso
 
Hapo labda Zitto atataka awe waziri mkuu. Wizara wanagawana vipi. Any way waelewane tu.
Kama nilivyosema muda siyo lrafiki kwa hawa ndugu zetu, wangetaka hivyo wangefanya kabla hata ya kuchukua hizo fomu huko NEC. Sasa kila mtu kesha chukua, je NEC ikiwapitisha wote watafanyaje na sisi mfumo wetu sio kama wa Kenya kuwa mnaweza kufanya Coalition baada ya kukubaliana namna ya kugawana hizo nafasi za ulaji na uongozi? Anyway tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom