Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Mbona unakomaa na idara, kwani hizo barua unauhakika zimetoka katika idara hii unayoitaja kila wakati acha hasira. Fuata kanuni za utumishi wa umma hasa idara yako ya police kama investigators.
Rasmi nimekupuuza! Huna hoja, maana swali ulilouliza awali nikakujibu, nikategemea utanipa consequences za mtu kusimamia sheria, kanuni, taratibu na ethics za kazi ni zipi kulingana na warning uliyonipa umeishia kubwabwaja
 
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utatamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.
Tuzidisha maombi na kuungana ili tuikomboe nchi yetu
 
Mh. Membe hakucheza karata yake vizuri wakati wa uongozi wa Rais Kikwete.
Hakujitangaza vizuri kwa kuzunguka mikoa yote.
Ilikuwa rahisi kwa yeye kwenda Ulaya kuliko mikoani.
Mikoa kama Singida sidhani kama aliwahi kufika.
Huyu ni Mwanadiplomasia ambaye siasa hana karama nayo.
 
Kwa asilimia 100 nilishaamini kuwa CCM tutaing'oa 2015 lakin haikuwa ivyo, MKAPA akafanya yake magu akapita. Sina hakika kwa msimu huu kama tutachukua kiti..

Hii nchi ilibidi iwe na vyama viwili tu vyenye nguvu na ushawishi kama ilivyo USA lakin sio kwa style hii vyama viingi kama ikulu kuna biashara. DRC kipindi ile kulikuwa na vyAma zaidi ya 40's vya kisiasA.
Kwani sasa hivi wewe unaona kuna vyama vingapi vyenye nguvu?
 
Tuwatakie heri. Ila watakiwa wawe makini sana wakati wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Hiyo ndiyo kete pekee ya kujihakikishia ushindi.
Hilo ni muhimu sana kama mswaki asubuhi
 
Bora uambie ukweli, na ukweli Ndio huu, Kama 2015 ilishindikana watasubiri sana, upinzani wa kweli wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko bado sana, hawajui Wanataka nn, wao kazi yao ni kupinga tu liwe zuri kwao ni baya liwe baya kwao ni zuri, kumbukumbu zangu za nyuma zinanionesha upinzani haujui unasimamia nn hasa, mlengo wao ni upi?
Jiandae mapema kisaikolojia maana hutaamini macho yako wakati mh Lissu atakuwa anakula kiapo kukabidhiwa ikulu
 
Wakijitahidi watafikisha milioni moja sasa muungano wao unasaidia nini? Hata wakiungana wote bado hakuna kitu.

Miaka.yote mnaangukiapua bado hamjifunzi?

Kipindi cha lowasa kama mlishindwa hivi leo mtashinda kweli?

Subilini kampeni zianze ndo utajua chama dume, wanapiga kona zote za, naishia hapo.

Mkipenda mjijibu wenyewe.

Huyo Lissu maneno yatamuishia mdomoni.

Mtaanza matusi tu.
Mwisho wenu wa kula kwa kutegemea chakubanga ameamua nini siku hiyo, umewadia
 
Watumishi woote wa Tanzania hawaitaki kabisa ccm, wakulima woote Tanzania hawaitaki ccm, wafanya biashara woote Tanzania hawaitaki ccm, machinga woote Tanzania hawaitaki ccm.
Slow slow but sure...
Endeleeni kuwashwa washwa.
 
Walishindwa ukawa na mvuto wa lowasa waweze kweli kwa act na Cha Domo? Kifupi waungane wasiungane hawawezi kushinda zaidi ya kuusindikiza ushindi wa kishindo wa magufuli
Hutaki rudi kwenu koromitdje
 
Hatutaki kupiga kura siku moja kabla, yale yale ya 2015 ya kuelekezwa tuandike namba zetu za vitambulisho vya kupigia kura, siku ya kupiga kura unaenda kupiga kura unaambiwa tayari ulishapiga.

Kwa wingi wetu polisi na jeshi la wananchi tunasema Sasa hivi hatutaki maelekezo, tunasimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi!

Hatuwezi kuwadhulumu ndugu zetu watanzania kisa kulinda maslahi ya watawala, watanzania ni ndugu zetu, tupo nao pamoja!

Hata 2015 tulisimamia uchaguzi na bado kura tulipiga(kwa wale tuliokaidi maelekezo ya kuandika namba za vitambulisho), sasa mwaka huu kimebadilika nini hadi tupige kura siku moja kabla?

Elfu 60 za kusimamia tutazichukua, Watanzania watapiga kura, hakuna figisu itakayotokea vituoni, nyeusi itaitwa nyeusi, nyeupe itaitwa nyeupe,

#MAAGIZOKUTOKAJUUSASABASI!!
Aisee kumbe bado polisi wema wapo
 
Back
Top Bottom