Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Hata wakiungana, matusi kutukanq kipigo kiko palepale!

CCM babalao Jana mmeenda kwa mbwembwe Dodoma wananchi wakawapuuza .
 
Mashabiki wa chadema wengi hawajajiandikisha kupiga kura wakiongozwa na mgombea urais wao. Au kuna no kujiandikisha tena?
 
Mashabiki wa chadema wengi hawajajiandikisha kupiga kura wakiongozwa na mgombea urais wao. Au kuna no kujiandikisha tena?
Binti hata hujielewi unachoandika.kwahiyo wewe unaakili kuzidi tume iliyompa fomu ya kugombea urais?
 
Mashabiki wa Chadema ni maneno tu kuna maneno ndiyo yatapiga kura sawa, hata Lisu hana be kadi ya kupiga kura.
Huna uelewa. Lissu 2015 alipigia wapi kura? Halafu nyie vijishabiki uchwara vya Magufuli msituletee ujinga na ujuaji zero humu Jf! Sawa binti? Tulia ule shule kwanza ndipo uanze kuandika.
 
Tulijiandikisha 2015 inatosha, sisi hatuhami hami kama nyie
Hapo ndipo mlipopotea vitambulisho vilibadilishwa. Ulikuwa unarudisha cha zamani unapata kipya. Na majina yakabandikwa. Matokeo yake mtakuja kuanza kupiga kelele eti majina hayapo kumbe hakujiandikisha.
 
Huna uelewa. Lissu 2015 alipigia wapi kura? Halafu nyie vijishabiki uchwara vya Magufuli msituletee ujinga na ujuaji zero humu Jf! Sawa binti? Tulia ule shule kwanza ndipo uanze kuandika.
Ujuaji wenu ndiyo unaopoteza kama hukujiandikisha usitarajie utapiga kura.
 
Back
Top Bottom