Hongera kwa barua hizo za maonyo, zijazo zitakuwa ni kubwa kuliko.Mkuu hunijui, sikujui, nina barua zaidi ya 3 kila mwaka za maonyo toka 2015,(pengine idara yenu mnaita karipio)na tupo wakaguzi na maafisa zaidi ya watano wenye maonyo haya haya, so sijajua umelenga nini kwenye swali lako, funguka "mtumishi"
Niache na taarabu zangu be sure to what you are doing.Acha taarab mwanaume, rejea swali lako la awali, uulize ulichokuwa unataka kuuliza,
Kuna tatizo la msingi hapa!Niache na taarabu zangu be sure to what you are doing.
Mbona unakomaa na idara, kwani hizo barua unauhakika zimetoka katika idara hii unayoitaja kila wakati acha hasira. Fuata kanuni za utumishi wa umma hasa idara yako ya police kama investigators.Kuna tatizo la msingi hapa!
Kwamba kusimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi niwe sure of what am doing????? Mna tatizo kwenye hiyo idara!
Shame on u!
Lissu ni habari nyingine kabisa aiseee!Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Lowasa huyo huyo asiyejua kumwaga sumu alizidi asilimia alizopata Dr Slaa 2010!Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Fanyeni haraka hayo mazungumzo kwani siku ya Uteuzi ya NEC ni in the next seventeen days. Si muda mrefu hasa ukizingatia na kutilia maanani kuwa Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe anautaka Urais kufa na kuzikana!Mgombea atakuwa mmoja ACT NA CHADEMA
Lowassa alichafuliwa fisadi,mgonjwa. Ukizingatia alikuwa hawezi kuongea na kujitetea na kumwaga Sumu. Lowassa angekuwa kwenye hali nzuri ya kuongea,angeshinda.Lowasa huyo huyo asiyejua kumwaga sumu alizidi asilimia alizopata Dr Slaa 2010!
Ina maana Lowasa alimwaga sumu kuliko Dr Slaa?
Endelea kujisomea vitabu vya histora labda utapunguza maumivu. Uchaguzi wa mwaka huu siyo kama wa 2015Kuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Hapo labda Zitto atataka awe waziri mkuu. Wizara wanagawana vipi. Any way waelewane tu.Fanyeni haraka hayo mazungumzo kwani siku ya Uteuzi ya NEC ni in the next seventeen days. Si muda mrefu hasa ukizingatia na kutilia maanani kuwa Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe anautaka Urais kufa na kuzikana!
Baada ya kutangazwa mshindi kwa mh Lissu na kuapishwa naona utakuwa wa kwanza kupanda kwenye Nyahunge express kurudi uliko zoeaKuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Usitukumbushe huyo mzee jambazi wa kisiasaKuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Kuondoka CCM huu mwaka haiwezekani ilishindikana wakati wa lowasa sembuse Leo.
Hatutaki kupiga kura siku moja kabla, yale yale ya 2015 ya kuelekezwa tuandike namba zetu za vitambulisho vya kupigia kura, siku ya kupiga kura unaenda kupiga kura unaambiwa tayari ulishapiga...
Kuota ni haki yako ya msingiHata waungane Magufuli ndio Rais mpaka 2025
Kama nilivyosema muda siyo lrafiki kwa hawa ndugu zetu, wangetaka hivyo wangefanya kabla hata ya kuchukua hizo fomu huko NEC. Sasa kila mtu kesha chukua, je NEC ikiwapitisha wote watafanyaje na sisi mfumo wetu sio kama wa Kenya kuwa mnaweza kufanya Coalition baada ya kukubaliana namna ya kugawana hizo nafasi za ulaji na uongozi? Anyway tusubiri tuone.Hapo labda Zitto atataka awe waziri mkuu. Wizara wanagawana vipi. Any way waelewane tu.
Nimekupenda buree, pata John walker popote naja na dolariLowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Muwache aendelee kuwashwa washwa kama alivyo sema mwenyekiti waoNani kakuuliza?