Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Wakiungana wamekwisha! Ila naona kazi ya jasusi membeeee inaenda vzr sana!Sawa!
Naamini kabisa CHADEMA na ACt wakiungana CCM lazima ichomoke...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiungana wamekwisha! Ila naona kazi ya jasusi membeeee inaenda vzr sana!Sawa!
Naamini kabisa CHADEMA na ACt wakiungana CCM lazima ichomoke...!!
Maguduli baba laoSawa!
Naamini kabisa CHADEMA na ACt wakiungana CCM lazima ichomoke...!!
'Hata hivyo hizo ndogo ndogo walizokuwa wanampa zilikuwa za mafumbo mafumbo, zenye ustaarabu'.Hakutukanwa wala kukashiwiwa na mgombea mwenzake wa urais (JPM). Waliokuwa wanampa ndogo ndogo ni wapiga debe wa mpinzani wake (JPM) kama akina Msukuma ambao hawabanwi sana na hizo sheria na kanuni za kampeni za uchaguzi. Hata hivyo hizo ndogo ndogo walizokuwa wanampa zilikuwa za mafumbo mafumbo, zenye ustaarabu, after all huwezi kujua anaweza akaja akawa ndiyo rais wako. Ndiyo maana karudi kwenye kundi lake la wastaarabu.
Aysee.. ckujua Kama kuna polisi makini hivi. Big up bro!Hatutaki kupiga kura siku moja kabla, yale yale ya 2015 ya kuelekezwa tuandike namba zetu za vitambulisho vya kupigia kura, siku ya kupiga kura unaenda kupiga kura unaambiwa tayari ulishapiga.
Kwa wingi wetu polisi na jeshi la wananchi tunasema Sasa hivi hatutaki maelekezo, tunasimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi!
Hatuwezi kuwadhulumu ndugu zetu watanzania kisa kulinda maslahi ya watawala, watanzania ni ndugu zetu, tupo nao pamoja!
Hata 2015 tulisimamia uchaguzi na bado kura tulipiga(kwa wale tuliokaidi maelekezo ya kuandika namba za vitambulisho), sasa mwaka huu kimebadilika nini hadi tupige kura siku moja kabla?
Elfu 60 za kusimamia tutazichukua, Watanzania watapiga kura, hakuna figisu itakayotokea vituoni, nyeusi itaitwa nyeusi, nyeupe itaitwa nyeupe,
#MAAGIZOKUTOKAJUUSASABASI!!
Nimekutana na watu wanateseka sana.Victorie umekuwaje kuwa mpambe wa Lissu?
Ww sio polisi ila ni maandazi fulani hapo mtaani kwenu, kama kweli unajiamini kwa hayo maneno yako nenda kamwambie mkuu wako wa kaziHatutaki kupiga kura siku moja kabla, yale yale ya 2015 ya kuelekezwa tuandike namba zetu za vitambulisho vya kupigia kura, siku ya kupiga kura unaenda kupiga kura unaambiwa tayari ulishapiga.
Kwa wingi wetu polisi na jeshi la wananchi tunasema Sasa hivi hatutaki maelekezo, tunasimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi!
Hatuwezi kuwadhulumu ndugu zetu watanzania kisa kulinda maslahi ya watawala, watanzania ni ndugu zetu, tupo nao pamoja!
Hata 2015 tulisimamia uchaguzi na bado kura tulipiga(kwa wale tuliokaidi maelekezo ya kuandika namba za vitambulisho), sasa mwaka huu kimebadilika nini hadi tupige kura siku moja kabla?
Elfu 60 za kusimamia tutazichukua, Watanzania watapiga kura, hakuna figisu itakayotokea vituoni, nyeusi itaitwa nyeusi, nyeupe itaitwa nyeupe,
#MAAGIZOKUTOKAJUUSASABASI!!
Kwani ccm mnateseka ?Bila tume huru ya uchaguzi yenye kutenda haki, sioni Magufuli anang'oka vipi. Dude will catch all your bodies unfazed before he concedes defeat, man's heartless. I hope mmejipanga vya kutosha kulinda kura zenu, na sio kulalamika foul play.
Lowassa alikuwa hajui kumwaga sumu kwa kutumia mdomo wake. Lissu anamwaga sumu acha kabisa.Hapo CCM wanatamani wamuue tu.
Victorie ukombozi wa Lissu umepita nae. Kama binadamu unayemjua Mungu huwezi kumuona Lissu leo alafu ukampuuzia baada ya kuuona muujiza wa Mungu kwake.Victorie umekuwaje kuwa mpambe wa Lissu?
Embu yaweke hapa tuyaoneMagufuli ni chaguo la wengi! Hayo ndiyo maoni ya Watanzania.
Mgombea atakuwa mmoja ACT NA CHADEMA
Maguduli ndio manini..!?Maguduli baba lao
Ccm mama lao
Hata mkiungana ,ccm hamtuwezi
Basi kama sina akili, wewe ni mpumbavu...😀😀😀😀😀😀 kwa siasa zipi, zile za Tundu Lissu. Hauna akili Kabisaa
Huo mwaka nilikuwa sayari nyingine huko ulimwenguni, kwani ilikuwaje...!?Umesahau mwaka 2015 Chadema na CUF waliungana tena chini ya Ngoyai akiwa kwenye peak, na bado CCM iliibuka kidedea?
Kwa asilimia 100 nilishaamini kuwa CCM tutaing'oa 2015 lakin haikuwa ivyo, MKAPA akafanya yake magu akapita. Sina hakika kwa msimu huu kama tutachukua kiti..
Hii nchi ilibidi iwe na vyama viwili tu vyenye nguvu na ushawishi kama ilivyo USA lakin sio kwa style hii vyama viingi kama ikulu kuna biashara. DRC kipindi ile kulikuwa na vyAma zaidi ya 40's vya kisiasA.
Hofu yangu mie ni goli la mkono vinginevyo ccm haifurukuti kama kila kura ingehesabiwa.Toto Tundu anastaheresha. unajuwa tena Wasawahili tunavyopenda mipasho. Toto Tundu atabaki mfalme wa matusi na mipasho, na kila takapokwenda watu watajaa kustahereshwa, lakini itakapofika wakati wa kura atajikuta mwenyewe ndiyo maana anajihami eti asposhinda Tanzania nzima itaandamana. Nani aandamane kwa ajili ya kula yake. Yeye aliishatudharau na kudai eti yeye siyo mijnga watoto wake kusomea shule za kata. Sasa angioje sisi ambao watoto wetu wanasomea shule za kata kama tutamchaguwa yeye au yule ambae amejenga shule za kata zinazotupa matumaini.
Kama kweli Toto Tundu ni mwanasiasa mahiri anayetaka kutuletea mabadiliko atueleze ana mipango gani ya maendeleo ambayo ni mizuri kuliko hii iliyopo. Atueleza vipaumbele vyake vya maendeleo na jinsi atakavyo vigharamia. Hii habari ya katiba na tume uchaguzi kwa sasa tuiache. Tuangalie namna ya kyalinda ambayo yamefikiwa hadi sasa. Wanasiasa wanang'ang'ania yale yatayowasaidia wachaguliwe lakini yale ya kuwasaidia wananchi hawayatamki...No wonder it is all about what comes with being elected...money, money, money, money, money, money, money, money, money.
Kama nilivyosema muda siyo lrafiki kwa hawa ndugu zetu, wangetaka hivyo wangefanya kabla hata ya kuchukua hizo fomu huko NEC. Sasa kila mtu kesha chukua, je NEC ikiwapitisha wote watafanyaje na sisi mfumo wetu sio kama wa Kenya kuwa mnaweza kufanya Coalition baada ya kukubaliana namna ya kugawana hizo nafasi za ulaji na uongozi? Anyway tusubiri tuone.
Lowasa si ni kweli alikuwa mgonjwa wakati wa kampeni za 2015? Hakukuwa na uwongo kwenye hilo. Wapiga kura ilikuwa ni haki yao kulijua hilo kabla ya kutoa maamuzi ya raisi wamtakaye. Na Lissu pia anapaswa ajiandae kwa hizo ndogo ndogo za ukweli kuhusu afya yake physically and mentally kutoka kwa wapiga debe wa mpinzani wake. Ni dosari ambazo wananchi wanapaswa kuzijua kuhusu rais wanayetaka kumchagua. Ni lazima wajue kuwa huyo rais wao ana ulemavu wa kudumu wa miguu na mikono yake. Mguu wake wa kulia na mkono (hand) wake wa kulia hawezi kuukunja. Wananchi wanatakiwa kujua kuwa huyo rais wao hataweza kumudu mikiki mikiki ya kazi hiyo ya urais ikiwemo ya kuweza ku escape matukio hatarishi na kadhalika.'Hata hivyo hizo ndogo ndogo walizokuwa wanampa zilikuwa za mafumbo mafumbo, zenye ustaarabu'.
Lowassa alijinyea-Musukuma 2015
Kwa kweli ukiwa Ccm maneno kama hayo ni ya mafumbo na yenye ustaarabu kwa kiasi flani.