Zitto ni kiongozi mkuu wa chama, unafkiri Zitto atakapopata taarifa ya msiba anatakiwa afanye nini kwenye chama kama si kusimama kwenye jukwaa akawatangazia wenzake? Ndio mana alisubiri simu ya rais ili akipata taarifa huko kuwe na kauli ya pamoja kiprotocal.,Nani kasema Zitto Kabwe ndio alitakiwa kutangaza kifo?
Hiyo itifaki kila mtu anaijua ndio maana Zitto Kabwe amesema aliipokea hiyo simu kwa mujibu wa sheria maana yake ni kwamba vinginevyo asingepokea angeendelea kuogopa!
Kigwangala anahoja gani?Katika siasa za kawaida Zitto, Tundu Lisu, Mnyika na Kigwangalla ni sawa na bunge zima.
Unawapelekea Chenge tu awe Spika wao!
Wachawi na wenye asili za kichawi ndio huwa hawana woga na taarifa za misiba ya wapendwa wao...Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa wao mbona wana akili timamu, au unavuta na njaa, maana imekuwehusha kinomaHiyo hata Tundu Lisu anaitumia sana bila kumsahau bwashee Lema!
Kwani Zitto Kabwe siyo Binadamu. Hakuna Binadamu ambaye anauwezo wa kuvumilia kufiwa na mtu wake wa karibu.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Yaan ana jigamba kabisa kuwa alimdharau msaidizi wa Maalim Seif na kukataa kupokea sim yake? WaZnz mnafeli wapi?
Nitamheshimu Mhe.Mbowe milele kwa kukataa Tundu Lissu kutibiwa hospital yoyote nchini. Wenye akili nadhani mmenielewa.Zitto ni bonge la kiongozi
Umepanick eeeππππHujui hata kiswahili,kuna ushupavu ktk kifo,ulisikia wapi hiyo.Habari mbaya inahitaji Ujasiri siyo ushupavu.
Mtu kuwa Rais ni maamuzi ya wananchi, kwasababu urais ni zaidi ya Ujasiri war kupokea taarifa za msiba. Ila km Ni kipimo kwa mujibu wa mtoa mada basi mtu yeyote anaweza kuwa rais ilimradi ni jasiri tu.
Hujaona alivyomtoa kamasi Mo kule twitani?Kigwangala anahoja gani?
Hahahaaaa.....!Umepanick eeeππππ
Hamis!KigwA yup
Alijuaje kuwa ni habari mbaya?Hivi wabongo mnaelewa kweli au ni uzuzu tu yeye kasems hakutaka kupokea habari mbaya kwa wakati huo
Natural instincts!!Alijuaje kuwa ni habari mbaya?