Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Na kuongeza ndicho kipindi jamaa alitembelea stk na kukunja mil200 kila mwezi!
 
Mama yake Hamza amefariki Leo kwa simanzi
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,

Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Dah....na kwa bahati mbaya wao ndiyo wameshikilia 95% ya mafanikio yako 🤣🤣🤣🤭
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,

Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,

Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…