Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema...
Hata wewe mwenyewe nimchumia tumbo hivyo wote tumewapuuza
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Kamata Kvant kubwa bro
 
Mkuu hoja ya Gwaji boy mbona mpaka leo hakutoa ushaidi eti ukichanjwa basi ukiweka shillingi pale ulipo chanjwa ile shilling ina naswa 😆😆😆😆

Yaann hoja zingine banaaa
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako

mungu=Mungu
 
Zitto mdini sana na haaminiki milele, ni mtu akiona Rais ni muislam haongei ng'oo, pia akipewa madaraka ni mtu wa deal sana, PAC akiwa mwenyekiti alipokea sana bakshishi kibao, ni hovyo sana huyu
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Unafanya kazi kwa bidii halafu watawala wanachukua ulichofanyia kwa bidii kwa tozo halafu Hela zinalipa mapolis kubambikia watu kesi
 
Zitto mdini sana na haaminiki milele, ni mtu akiona Rais ni muislam haongei ng'oo, pia akipewa madaraka ni mtu wa deal sana, PAC akiwa mwenyekiti alipokea sana bakshishi kibao, ni hovyo sana huyu
Eti Rais akiwa Muislam Zitto huwa haongei

Umaarufu wa Zitto Kabwe umepatikana wakati wa Jakaya kutokana na kuongea Jee JK ni Myahudi?

Kashfa za Escrow na kadhia kadhaa alizoibua Wakati wa JK ulikuwa bado upo kijijini?

Hakuna Wakati Zitto alikuwa anakosoa Serikali kama wakati wa JK

Tatizo lako wewe na wenzio wengi mnaofanana kila jambo analozungumza Zitto mnamtazama kwa namna mlivyojiaminisha na hilo sio kosa kisheria ila ni kosa kimantiki

Kuna Wanasiasa wangapi wasio waislam walimkosoa sana JK lakin awamu iliyopita wakaufyata na sasa wamerudi kwny kukosoa na hakuna anaewatazama kwa mtazamo wa kiimani?
 
Wakati ule tulikuwa tukimsikia akitia neno zitapotolewa takwimu za serikali na taarifa mbali mbali zikiwemo za makusanyo ya mapato ya serikali, bot , takwimu, n.k

Siku hizi hatumsikii akitia neno kabisa au ndio kusema siku hizi mambo yameimarika taarifa zimekuwa za kuaminika tofauti na wakati ule?
Mwanasiasa wa kweli ni yule anapata mkate wake nje na siasa
 
Wakati ule tulikuwa tukimsikia akitia neno zitapotolewa takwimu za serikali na taarifa mbali mbali zikiwemo za makusanyo ya mapato ya serikali, bot , takwimu, n.k

Siku hizi hatumsikii akitia neno kabisa au ndio kusema siku hizi mambo yameimarika taarifa zimekuwa za kuaminika tofauti na wakati ule?
Kama kuna watu wa hovyo Tanzania among politicians ni Zitto! Mdini mkubwa sana, leo kuna Samia, mwislamu mwenzake,, kimya kabisa, haoni matatizo aliyonayo Samia kwa vile ni Muislamu mwenzake. ya kesi ya Mbowe hayaoni kuwa ni kuvunja haki za binadamu wazi wazi... ame mute (ingwa anakwenda kumuona gerezani). We need strong political statement from Zitto kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini!
 
Siku akili itamrudia CUF wakija sameheana wakarudisha chama Chao. Ndio itakua mwisho wa kitu inayoitwa ACT
 
Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM.
Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu

Hebu just imagine...

P
 
Back
Top Bottom