Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mwambie tumemsikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe mwenyewe nimchumia tumbo hivyo wote tumewapuuzaHuyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema...
Kamata Kvant kubwa broWanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Unafanya kazi kwa bidii halafu watawala wanachukua ulichofanyia kwa bidii kwa tozo halafu Hela zinalipa mapolis kubambikia watu kesiWanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Nimekusoma katikati ya mistari nimekuelewa zaidiWaislam huwa hatukosoani kiboya hivyo
Eti Rais akiwa Muislam Zitto huwa haongeiZitto mdini sana na haaminiki milele, ni mtu akiona Rais ni muislam haongei ng'oo, pia akipewa madaraka ni mtu wa deal sana, PAC akiwa mwenyekiti alipokea sana bakshishi kibao, ni hovyo sana huyu
Mwanasiasa wa kweli ni yule anapata mkate wake nje na siasaWakati ule tulikuwa tukimsikia akitia neno zitapotolewa takwimu za serikali na taarifa mbali mbali zikiwemo za makusanyo ya mapato ya serikali, bot , takwimu, n.k
Siku hizi hatumsikii akitia neno kabisa au ndio kusema siku hizi mambo yameimarika taarifa zimekuwa za kuaminika tofauti na wakati ule?
Kama kuna watu wa hovyo Tanzania among politicians ni Zitto! Mdini mkubwa sana, leo kuna Samia, mwislamu mwenzake,, kimya kabisa, haoni matatizo aliyonayo Samia kwa vile ni Muislamu mwenzake. ya kesi ya Mbowe hayaoni kuwa ni kuvunja haki za binadamu wazi wazi... ame mute (ingwa anakwenda kumuona gerezani). We need strong political statement from Zitto kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini!Wakati ule tulikuwa tukimsikia akitia neno zitapotolewa takwimu za serikali na taarifa mbali mbali zikiwemo za makusanyo ya mapato ya serikali, bot , takwimu, n.k
Siku hizi hatumsikii akitia neno kabisa au ndio kusema siku hizi mambo yameimarika taarifa zimekuwa za kuaminika tofauti na wakati ule?
Mwanasiasa wa kweli ni yule anapata mkate wake nje na siasa
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Wengine wasingepewa kesi za ugaidiHuyo bado hajazaliwa Mkuu, labda tusubiri mimba yake itatungwa 2089
Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuuHuyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM.