Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

😂😂😂
Jaman mwambieni Zitto mlio karibu nae apate account basi ya JF member ili anogeshe jukwaa la kula kimasihara maana saivi hana mambo sana kama ilivo kuwa zaman😂😂

nitafurahi sana kumuona Zitto humu akiwa na avatar feki ili tulonge nae kwa kina kwanini kashindwa KIGOMA na kwa nini ana mkubali sana Tundu Lissu😂😂

kamshikia sana akili ndio maana anamsemea kwenye platform za kijamii😂😂
 
Nchi hii inabidi tuanze kukaguana vyeti vya National Service wasio nacho waende wakapewe values za nchi hii.

Watu wamekuwa washamba sana toka lini mgeni akakupenda hivi hivi? Wameona mali ndio maana visa haviishi

Wazungu wanajidai wanajua kutusema na kutusuta...... hivi wanatuona tumetulia hawatujui eee

Watanzania pekee ndio watu wanaweza kukusema kwa maneno tuu hadi ufe. Kama hawaamini wakawaulize Aston villa yaliyowapata enzi za Samata au wamuulize yule mkandarasi aliyezimiaga kule Dodoma

Sisi ndio wabongo bhana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zitto ndio amekwenda lala hivyo, yaani kama ni marehemu ndio kazikwa tayari, sasa anatoa harufu tu kutoka kaburini.
 
Lissu will react to Kabudi's in a manner fits...

Inamaana gani wakuu? Wale wajuvi wa hii lugha tunaomba tafsiri.
Ina maana mbili:

1. Wamemshindwa Profesa Kabudi,

2. Anatakiwa mtu aliyekubuhu katika uongo, uzushi, na kupindua mambo ili aweze kupotosha maelezo ya Profesa huyu hodari wa siasa na sheria, kitu ambacho hata Mr Mzungu mwenyewe anatetemeka hawezi kuthubutu kufanya, kwa sababu ambazo nitazielezea baadaye kidogo.
 
Anapaswa kujibu nini? Kwamba Tanzanian sio dora huru? Kwamba utu na heshima ya watanzania inapotea kwa pesa na misaada? Acha kuwa una post upuuzi. Who is Lissu by the way?
 
Usimkane Tundu kwani hata maandiko yako yanafanana na Tundu, hata maneno yako anafanana na Tundu 😂😂😂
Tofauti yao tu ni kwamba Mr Mzungu yeye ni mwoga kasepa, angalau huyu bado ana ujasiri wa kujitetea kile kichapo na pia anategemea salary slip ili kujikimu kimaisha.
 
Hahahhah Kabwe wewe ni tu ndugu yangu, yaani hutaki tukusahau siyo??? Kalale huko...
 
Yote hii ni stress za kupigwa kwenye uchaguzi,
 
Mungu mbariki Tundu Lissu
 
So what wakiwa online! Mumewateketeza nchini hivyo unataka waende wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…