Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

sawa sawa katibu mkuu wa umoja wa kina mama ccm
 
Zifungie ofisi zao ,kwa tozo za kodi na mbinu nyinginezo kama kawaida,ili wasik wamishe maendeleo.
 
mwambie huyo mbunge aulize serikali ambayo ndio ilitoa pesa hizo pesa hazikutolewa na bunge la ulaya anatakiwa aulize serikali kwake sio kutuuliza sisi maruhuni mkubwa huyo
Hizo pesa zilikuwa ni za mfuko wa EU na ndiyo maana zinahojiwa na kamati ya Bunge la Ulaya... kwanza mliziomba za nini wakati sisi hatuna COVID-19.
 
Jibuni hoja, mlizipeleka wapi bil 74 mlizopewa kupambana na COVID-19? Hizo ni hela ni za MABEBERU wenyewe wanataka maelezo ya kina.
Mpeni ushirikiano yule jamaa aliyewasaidia kuzikwapua maana kapewa masaa 48 kufikisha majibu mwenye Kamati.
Acha umbulura hata mtoto wa lasaba B ukimpa pesa anajua wapi pa kuzipeleka sembuse mtu mzima
 
nani mwenye uhalali wa kuwa ikulu? Nyinyi mnatupotezea muda tu. Haya tuseme huyo aliekua ikulu afutiwe kura za Dar, Mza, Arusha na Zanzibar halafu tuhesabu upya, bwana wakili atashinda? Hashindi na watu wengi hatumpendi.
Kwa akili yako Umeona maeneo hayo tu ndio yaliyokuwa na dosari? Si haba tunachohitaji ni uchaguzi Mpya huru na haki.
Kwa kulitambua hilo ni uthitisho tosha huyu ni Rais wa 2015. Rais wananchi waliemtaka anasubiri njia za kistaarabu zishindwe uamuzi mwingine ufanyike.
 
Very serious indeed! Hiyo yenyewe tu ilipaswa kuwa red-light kwa mzalendo yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania
 
Hizo pesa zilikuwa ni za mfuko wa EU na ndiyo maana zinahojiwa na kamati ya Bunge la Ulaya... kwanza mliziomba za nini wakati sisi hatuna COVID-19.
Wewe hivi kumbe hukuona Kovid-19, wakati ulikuwa umejifungia ndani unaogopa kutoka hata nje???
 
Angelikuwa ana uwezo wa kuona mbali asingeligombea Urais na Rais Magufuli. Matokeo yake ameishia kuaibika. Haya masifa mnayompa mtandaoni hayamsaidii. Watanzania tunamwona kama Mzee Hashimu Rungwe tu!!!
 

Kabudi hajaongelea watanzania, bali amewaongelea ccm.
 
Angelikuwa ana uwezo wa kuona mbali asingeligombea Urais na Rais Magufuli. Matokeo yake ameishia kuaibika. Haya masifa mnayompa mtandaoni hayamsaidii. Watanzania tunamwona kama Mzee Hashimu Rungwe tu!!!
Sio watanzania, sema wana ccm, sisi wapinzani tunamkubali kinoma.
 
Mnamkubalia mtandaoni. Kwenye kura, hapana! Kwenye maandamano, hapana! Ahahahahahaja!!!

Kama ni kura tumempa za kutosha, hilo hatuna shaka nalo. Ila hatukuwa na kura za kwenye mabeg kama ccm, wala hatuna makundi yenye silaha kama ccm ili kupata kura za wizi. Maandamano bado watu ni waoga, ila huko tutafika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…