Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania.

=====

Dear All,

I would like to take this opportunity to invite you to a press conference. Tomorrow: 23.11.2020 12:00 CET 14:00 EAT via zoom.

The Vice-Chairman of the main opposition party CHADEMA Tundu Lissu, and the Chairman of the opposition party ACT Wazalendo Zitto Kabwe, in a joined press conference, will discuss Tanzania post-election and the role of international community.

Note:
1) The representatives of the media interested in being accredited to cover the press conference should enter zoom 15 minutes before the starting time.
2) We will conduct this press conference only be in English.

3) Kindly confirm via email if you would like to attend this press conference.

We look forward to your support.

Multimedia Journalist at DWA
Najma Khamis
+4917637437536
najmakhamis77@gmial.com
Twitter : @najiniusnaj77
LinkedIn : https://www.linkedin.com/in/nadj-khamis-21a23569/
Links : https://poeticousnadj26.wordpress.com/
https://raretruthnj.wordpress.com/2016/04/01/poetic-chaos-in-my-head-nadj-xamsi/
https://www.mixcloud.com/nadjnaj77/
 
Hivi.....
Zitto yupo wpi..??
Mbowe yupo wapi..??
Professor wapi....??
Sugu wapi....??
Nyalandu wapi..??
Kangi Lugola wapi..??
Paul Makonda kimya.....
Wakuu, nimejikuta nauliza tu maana tangu wengine wakimbilie uhamishoni, hawa waliobaki wamekua kimya utadhani hakuna kilicho tokea..
 
TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia #Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania. https://t.co/fnOR8Pz7rT
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
 
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi...... mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Kwa kauli ile, naweza sema bila tashwishwi kwamba yale ni matumizi mabaya ya cheo alicho azimwa
 
TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania.
View attachment 1632410
KWAKUPENDA MAIKI ZA WANDISHI WAHABARIII HAWAJAMBO, ILA KWA MAMBO YA MAENDELEO HAPO HAMNA KITU.
 
Ok, ngoja Kabudi sasa akafundishwe namna watu wazima wanavyotakiwa kuzungumza.

Ajue namna hoja inavyojibiwa kwa hoja, sio unaulizwa wapi Euro 27m? unajibu hatutaki ushoga.
 
TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania.
View attachment 1632410
Wanazungumza kama akina nani?!
 
Hivi.....
Zitto yupo wpi..??
Mbowe yupo wapi..??
Professor wapi....??
Sugu wapi....??
Nyalandu wapi..??
Kangi Lugola wapi..??
Paul Makonda kimya.....
Wakuu, nimejikuta nauliza tu maana tangu wengine wakimbilie uhamishoni, hawa waliobaki wamekua kimya utadhani hakuna kilicho tokea..
Hizi Tanzania we ione tu mkuu, ni ngumu sana
 
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Nikupe mkopo/msaada halafu nikupangie matumizi? Kwamba umeniona mimi sina uwezo wa kupanga matumizi ya fedha? Kenya wamepewa pesa zimepigwa na wanasiasa mbona hawahoji? Kwa nini wahoji Tanzania?

Rwanda hali ya kidemocrasia iko very worse kuliko Tanzania. Hawa jamaa hawajawahi kuhoji kinachoendelea Rwanda. Hata Uganda democracy ni very poor. Je hawa jamaa wanatupenda sana watanzania? Kuweni macho.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom