Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

Ufalme ukifitinika hauwezi kusimama.
Hawa jamaa walianza vizuri Sana mambo ya siasa enzi zile,ila uasi dhidi ya taifa lao ulipozuka ndani ya mioyo yao matokeo ya roho ya uasi huo yalianza kuonekana katika vyama vyao mpaka Leo hii.
 
Zitto anauhakika wa chama chake kuwa ndani ya serikali ya umoja wakitaifa Zanzibar.

Lissu yeye kakimbia mapema sana.
kwanye hayo maojiano yao akuna jambo jipya la maana watakalo sema.
Jambo la maana kwako ni uzinduzi wa tuta la kuchepusha maki rufiji
 
Huu ni msimu wa mvua, ni bora wangejikita kwenye kilimo zaidi kuliko mambo ya siasa.

Wakulima waliopanda kura feki wanasherehekea mavuno ya kura feki walizowapatia CCM ushindi
Your browser is not able to display this video.
 
Wazungumze au wasizungumze yote sasa tu. Hapo ni vibaraka tu wa mabeberu. Kwenye kujitambua tukishawakataa.
 
Nyumbu msijitoe ufahamu hii fedha ilitolewa na ilivuma kwamba Tanzania imepata fedha ya kupambana na corona na sio mkopo kama ilivyopewa Kenya. Jibu ni rahisi tu zimetumika katika utafiti wa kupambana na corona.
Matusi ya nini? Juepushe na matusi. Nyumbu mama yako, full stop
 
Huu ni msimu wa mvua, ni bora wangejikita kwenye kilimo zaidi kuliko mambo ya siasa.
Kwanza tayari wananuka harufu ya Ushoga, Upapeti. Wametuthibitishia wenyewe wanatumiwa na wanaowatumia tuewafahamu tayari, Lengo lao na azma yao nikuandaa tunaichukia Serikali iliyopo madarakani na kuikwamisha isitoe huduma nzuri kwa Wananchi ili Wananchi waichukie Serikali kwa Maslahi ya matumbo yao, tuliisha waelewe saaana kuwa wao toilet paper wanatumiwa na watatupwa ili waliowatumia wasinuuke harufu chaafu, Tunajua Fika yoote kuhangaika Zitto Kabwe lipa Madeni ya Watu ulimkopa Ally Chisala mpaka umemsababishia ameshindwa kumuhudumia Mke wake ; na wewe Tundu Lissu nenda katoe hata K si ulisema ni haki ili usamehewe ile bilioni 40 uliyokopa 😂😂😂😂😂 naona tutakuwa tumeelewana.
NB: JPM piga kazi mpaka Mabeberu yachanganyikiwe kabisaaaa
 
Kuandamana ni njia moja, ila njia ziko nyingi. Wananchi bado ni waoga kwa njia hiyo, ila huko tutafika tu. Hata Nyerere hakupata uhuru wa nchi hii kwa vita bali alitumia njia mbadala.
Ingawa ni haki ya kikatiba kuandamana kwa amani, lakini kwa namna Jeshi la Polisi la Sisiem lilivyopiga mkwara, inawezekana kweli watanzania wajitokeze kuandamana?

Unajua kuwa hii serikali ya awamu ya 5 haijali kuwa damu za watanzania wangapi zingemwagika, ili mradi tu watekeleze azma yao ya kututawala kwa nguvu milele na milele!
 
Safi,tunasubiri nondo za kimataifa kumjibu Profesa Majalala
 
Mkopo na msaada ni vitu viwili tofauti. Serikali ilienda kuomba msaada wa kupambana na Covid-19 lakini matumizi yake hayakwenda kwenye suala waliloomba.

Kumbuka mzungu akikupa hela zake anataka kuona umefanya kile kilichokusudiwa na sio ujipangie matumizi yako binafsi.

Yale ma v8 ya chama cha kijani yalinunuliwa kwa fedha za corona.
 
Vitu vingine ni vichekesho sana sasa wewe hata ujiulizi kwanini Zito hajachaguliwa na chama chake kwa cheo chochote eti leo anazungumzia demokrasia .Hakuna cheo kinachoitwa kiongozi Mkuu katika Mfumo wa vyama vingi Tanzania. Mwambieni kuwa hana sifa ya kukisemea chama maana hana wadhifa Wowote .siyo M/kit,katibu wala chochote.
 
Eagerly waiting to hear what is in offing.
 
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Tena wafadhili baada ya kuuliza matumizi ya pesa zao wameitwa “hooligans who sit in a Eurpean Parliament “.
 
Kuandamana ni njia moja, ila njia ziko nyingi. Wananchi bado ni waoga kwa njia hiyo, ila huko tutafika tu. Hata Nyerere hakupata uhuru wa nchi hii kwa vita bali alitumia njia mbadala.
Si waoga, wale Askari wa Kirundi wangetuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…