Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ina wanachama wengi na wenye ushawishi mkubwa majimboni kuliko ACT unataka CHADEMA iachie nafasi ya urais kwa ACT ?DJ atakubali? Atataka hao wagombea wote wawe wa chama chake. Waulizwe UKAWA walichofanywa na CDM hawatakaa wasahau.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Zito kama anataka umoja yeye ndiyo anatakiwa kuwaunga mkono CHADEMA wenye mtaji mkubwa wa wanachama na wapiga kura kuliko hiyo ACT yake ambaye hata wanachama 10k hainaKwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Hapa nchi ni moja tuu,Bara inafaa iwe CHADEMA.
Washirikiane ACT na Chadema, ACT Zanzibar, Kigoma na Pwani, mikoa mingine waachiwe Chadema na Hashimu Rungwe, NCCR, TLP, UDP, Chausita na takataka zingine zishirikiane na CCM.Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Hapana upande wa Zanzibar ACT wapo vzr kuliko chademaZito kama anataka umoja yeye ndiyo anatakiwa kuwaunga mkono CHADEMA wenye mtaji mkubwa wa wanachama na wapiga kura kuliko hiyo ACT yake ambaye hata wanachama 10k haina
Upo sahihi kabisa mkuuHapa nchi ni moja tuu,
Uchaguzi uliopita chadema waliweka Mgombea,
Zamu hii ni zamu ya wahanga wa CUF walioko ACT.
Kuhusu zenji ,tazameni wenyewe ,ukweli unajieleza Chadema haina mtaji wa watu huku, iliyokuwa CUF ndiyo ilikuwa namtaji ambao umefilisika na kuhamia ACT
Hoja hapa ni kuingoa CCM kwanza sio kupigana vijembe.
Tunaweza kupeana conesicion fulani za kimkakati ili kubakisha uhai wa vyama vyetu
Yamkini ni mimi na akili zangu ndizo zinazonifikirisha kufikiri kuwa vyama vya upinzani Tanzania vimepoteza DIRA na MUELEKEO kiasi kwamba wanachowaza ni kuitoa CCM madarakani Basi.Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Kwa tume hii ya uchaguzi, na kanuni hizi za maadili ya uchaguzi zilizotolewa na msajiri wa vyama, wapinzani hata wafanyeje na wapendweje na wananchi, CCM ni kidedea.Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Subutu, Zitto kajimilikisha chama choteZitto cdm walikufukuza lakini naamini kwenye huu uchaguzi au baada ya huu uchaguzi, watakuja kukulamba miguu.
KimeshajifiaBara inafaa iwe CHADEMA.
Ninyi watu wenye mapenzi mema piganieni kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi. La sivyo kuungana kwa upinzani hakutafua dafu. Kete mhimu ni kupambana kuweka uwanja wa ushindani "level" kwanza. Bado kuna mda wa kuhakikisha hili linafanyika. Mengine yatafuata.Zito Yuko sahihi adui wa taifa ni CCM hivyo lazima upinzani wawe kitu kimoja .
Kwa nini wewe siyo Erytrombocyte?Uko sahihi
HahahahahaNa huyo mgombea mmoja lazima atoke ACT-Wazalendo I guess, as per Zitto’s point of view
Maji yamezidi unga. Pole Sana.Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
SitakiAkili ya kuambiwa changanya na zako.
Wewe unayewaambia wenzako wapiganie sio Mtanzania ?Ninyi watu wenye mapenzi mema piganieni kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi. La sivyo kuungana kwa upinzani hakutafua dafu. Kete mhimu ni kupambana kuweka uwanja wa ushindani "level" kwanza. Bado kuna mda wa kuhakikisha hili linafanyika. Mengine yatafuata.