Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Huyo kijana ni ibilisi mwenye ngozi ya binadamu
[emoji12][emoji12][emoji12]!!

Binafsi mimi nililahani sana lile tukio alilofanyiwa Lisu na ningependa sana wale wote waliohusika wakutane na maswahibu mabaya zaidi ya hicho walichomfanyia.

Alikadharika hata huu uvumi uliokuwa ukienea kwa hizi siku mbili tatu haukunifurisha hata kidogo pamoja na kwamba mimi ni critic mzuri sana wa Magufuli.

Sababu ninaamini siasa sio uadui mpaka wa kufikia hatua kuona uhai wa mwenzako hauna maana.

Nilitegemea wanasiasa wetu na wadau wengine nao watakuwa hivi. Lakini ndio kwaanza wamevaa roho za Ibilisi inasikitisha
 
He is devil ended
 
Ndio mjue hawana sifa za kupewa uongozi.
Yaani ukashabikie binadamu mwenzio kuugua na kufa?!!!!
Tena Bora wangekaa kimya...wanajidai kumnafikia kumuombea,dah!
Wakawa wanacomfirm kabisa utadhani Wana undugu na yule Israel mtoa roho.
 
Nitashangaa kama ataendelea kurandaranda mtaani. Kwasababu kuna watu tunampemda rais hadi tunaumwa. Kasababisha tumepata heart [emoji813] attacks pasipo sababu.
[emoji3][emoji3]
 
Na Kuna watu asubuhi walifanya sherehe na kunywa..sijui wameishia wapi.
Hii nchi ina watu wa ajabu Sana.
- Kipindi Ben Saanane anapotea watu walifanya sherehe
- Kipindi Tundu Lissu anapigwa risasi watu walifanya sherehe
- Kipindi ndege ya ATCL inakamatwa South Africa watu walifanya sherehe
- Kipindi Taifa stars inafungwa watu walifanya sherehe
- Hii ya juzi ya mwenyekiti wa CCM walifanya sherehe
*Watu siku hizi wameshaacha kusikitika hata msibani kwa sasa, pilau linapikwa, watu wanakunywa bia na kucheza muziki. Maisha yenyewe mafupi kwanini ujipe stress?
 
Na Kuna watu asubuhi walifanya sherehe na kunywa..sijui wameishia wapi.
Hii nchi ina watu wa ajabu Sana.
Acha wewe!! Kwa hiyo kuna watu walikuwa tayari wameshaanza kusherekea x-mass leo hii?

Ila watanzania ni watu wa ajabu mno
 
Acha wewe!! Kwa hiyo kuna watu walikuwa tayari wameshaanza kusherekea x-mass leo hii?

Ila watanzania ni watu wa ajabu mno
Hujawaona kwenye nyuzi zile nyingine??
Jaribu kufwatilia utaona jinsi walivyo furahi.
 
Ndio mjue hawana sifa za kupewa uongozi.
Yaani ukashabikie binadamu mwenzio kuugua na kufa?!!!!
Tena Bora wangekaa kimya...wanajidai kumnafikia kumuombea,dah!
Wakawa wanacomfirm kabisa utadhani Wana undugu na yule Israel mtoa roho.
Hiyo ya ku confirm ndio imeniacha hoi kabisa, imeonesha ni watu wasiokuwa na huruma wala utu.

Nakumbuka kwenye tukio la Lissu kuna wana ccm wengi sana walionesha kuguswa ile genuinely akiwemo mama Samia Suluhu, na tena kuna wengine walienda kumuona kwa siri wakati bado yupo Nairobi.

Lakini hii ya leo tetesi tu, watu wakamtanguliza kabisa na wengine wanafanya party.

Hii ni damage mbaya sana kisiasa, watafanya hata wale ambao walikuwa sio wafuasi wa Magufuli waanze kumpenda/kumkubali ghafla out of sympathy na kupunguza idadi ya wafuasi wa upinzani.
 
Hujawaona kwenye nyuzi zile nyingine??
Jaribu kufwatilia utaona jinsi walivyo furahi.
Mimi niliingia humu mchana wa saa nane hivi. Nikakutana na uzi mmoja una comments kama 2000+ nikau subscribe, baadae sijakaa sawa mara ukaja mwingine unahusu taarifa ya kufanya teuzi na huo ndio ukaniweka bize.

Lakini yote kwa yote sisi ni wapumbavvu sana. Kama tumemchoka mtu na hatumtaki kwanini tusitafute namna ya kumtoa kitini kuliko kusubiria eti atolewe na kifo!?

Imagine basi ingetokea hivyo halafu tukapata mwingine na yeye pia akawa ni bandidu tena zaidi ya huyu, je naye pia tungemuombea kifo?

Sisi ni ajabu la nane la dunia.
 
Duuuh!!
 
Zitto ni k namaana yupo katikwa kwati
 
Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Wanasiasa wa tz karibia wote ni wanafiki, na wananufaika kwa unafiki, mfano nikuulize serekali ya Magu imenufaikaje kwa kumpiga risasi Lissu, kumnyima matibabu na kumvua ubunge?.....unafikq! X100000!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…