MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Ebu nikumbusheUkiona hivyo amesha kufa kabisaa! mtakumbuka maneno yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu nikumbusheUkiona hivyo amesha kufa kabisaa! mtakumbuka maneno yangu
Una AKILI TIMAMU?Zitto amehusikaje hapo?
Kigogo ndiye Zitto
Wacha kusingizia watu
Sawa kigogoNimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Mkuu uonevu gani?Jamaa achukue tu hatua coz hawa watu ni WAPUMBAVU. Huwezi mzushia Rais kifo ukataka msamaha tena kwa njia za kipumbavu pumbavu. Hatua yyt atakayochukua iwe invisible or visible NITAUNGA MKONO.Kama ni kuchukua hatua ameshachukua sana, nyingine za haki na nyingine za msukumo wa kiitikadi na hilo tunalifahamu. Hata akichukua hatua sasa bado itakuwa ni muendelezo huo huo wa uonevu kwakuwa yeye anaweza kufanya makosa na asichukuliwe hatua yoyote kutokana na katiba. Ila ujumbe wa msingi kwamba anavyowafanyia walio kinyume na itikadi yake liko wazi. Hivyo mtumie barua rasmi ili achukue hiyo hatua, ila ujumbe kwamba anatumia madaraka yake kuwafanyia uonevu wasio wa itakadi yake ujumbe huo umefika.
Kwa vile imeshajulikana zito ndio planer nitakata kichwa chake na kukitembeza mitaani....nipo tayari kumuua zito kwa panga..Naona metoka mafichoni mmeanza shobo zenu za kipuuzi, pigo lijalo ndo mwisho wenu
Kenge baba yakoNyie wapuuzi wa lumumba what goes around comes around , huyo kenge muuaji ameauthorize mauaji ya Watu wengi wasio na hatia na unyanyasaji kibao , halafu mnatoa Ushuzi humu eti tumuombee . Kwa lipi Jema ? . Fools
Yeriko Nyerere anasema wewe na wenzio watatu ndo Kigogo@2014Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Huo wema uwe kwa pande zote mkuu. Kumbuka siasa zenu hazina wemaKaka ZITTO umefuatilia au Umeshiriki? Moja ya post yako ilikuwa na ujumbe sawa sawa na ule wa KIGOGO. Nilichogundua ulilishwa Tango Pori ukaamini, na gesture yako ulikuwa unafurahia Sana. Ila baada ya kujua ilikuwa tango pori, ukarudi kwa aibu kuandika tofauti kufuta aibu. Ni bora tukafanya siasa lakini tukatanguliza UTU, UNDUGU na Utanzania wetu.
Mwigulu
Kiukweli kwa jinsi nisivyoipenda CCM halafu watu ambao nategemea ndio wawe mbadala wa ccm wanafanya upumbavu kiasi hiki, hapa jibu nnalolipata nijiweke mbali na siasa tu.Wanatufundisha tuendelee kuchagua CCM milele Maana wao Ni wa hovyo kuliko hata hao CCM.
Pia wanatuonyesha walivyo na uchu na madaraka ,kwa vyovyote vile watakuwa wakuchumia matumbo tu.
Nakupenda kwa sababu unasimama katika ukweli..wewe Sio Kama bendera.Kiukweli kwa jinsi nisivyoipenda CCM halafu watu ambao nategemea ndio wawe mbadala wa ccm wanafanya upumbavu kiasi hiki, hapa jibu nnalolipata nijiweke mbali na siasa tu.
Yalizungumzwa mengi mzee alipopata hiyo dharura. Yalizungumzwa mema na mabaya. Waliozungumza mabaya ni wengi mno na sababu ziko wazi. Katika waliozungumza ametoa kauli ya kuomba radhi na hiyo ndo hekima. Si wote watakaoomba radhi na sababu bado ni zile zile.
Mkuu na Mh. Zitto, ufuatao ni ushauri wangu kwako:Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Mkuu uonevu gani?Jamaa achukue tu hatua coz hawa watu ni WAPUMBAVU. Huwezi mzushia Rais kifo ukataka msamaha tena kwa njia za kipumbavu pumbavu. Hatua yyt atakayochukua iwe invisible or visible NITAUNGA MKONO.
Wanasiasa unafiki unawafanya wawe vipofu. Kwake yeye UTU na UNDUGU au Uzalendo ni pale yalipo maslahi yake.Mkuu heshma mbele!
Ulipokuwa waziri wa mambo ya ndani, ubinadamu wako ulionekana Ben Saanane alipotekwa? Tena ukizingatia ulisema kuwa ni rafiki yako?
Hivi shambulizi kwa Tundu Lissu haukuwa waziri wa mambo ya ndani?
Ukifanya mambo gani ili kuonyesha kwamba hukufurahia? Mbona wanachama wa ccm na wapenzi wa serikali walishangilia hadi nikajiuliza kuhusu hilo la utu. Tuacheni unafiki wabongo.
Kaka ZITTO umefuatilia au Umeshiriki? Moja ya post yako ilikuwa na ujumbe sawa sawa na ule wa KIG huuOGO. Nilichogundua ulilishwa Tango Pori ukaamini, na gesture yako ulikuwa unafurahia Sana. Ila baada ya kujua ilikuwa tango pori, ukarudi kwa aibu kuandika tofauti kufuta aibu. Ni bora tukafanya siasa lakini tukatanguliza UTU, UNDUGU na Utanzania wetu.
Mwigulu
Ndiyo Maana huwa nakwambia kwamba wapinzani Wana Safari ndefu Sana.
Hawana Sera imara, kazi Yao kusubiri matukio ili washabikie,wapinge na kukosoa.
Inasikitisha Sana kuona watu wanashabikia vifo.
Kwa siasa hizi bado sijaona mbadala wa CCM na ndiyo Maana niliamua kutokuwa mfuasi wa chama chochote Maana wapinzani wengi Ni wanafiki tu.
Yeye anapowatakia watu mabaya kina Lissu na wengine anafaidikaje?Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?