Pole mkuu. Uzuri mmoja hii “Omicron” inaenea kwa kasi sana lakini siyo as deadly as that delta variant.Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Piga nyungu mkuu.Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Hilo nalo nenoPole sana ila bado wengi hawawezi kukuamini maana matendo na maneno yako huwa ni tata wakati mwingine. Wengi watajua wewe ni mzima ila una maana nyingine tu
Wapo wengi haswa wale wazee wazeeUmeambukizwa kwenye Mkutano na Mkulu?
Kwahiyo kama huna maumivu ila mafua na juzi tulikuona mzima mafua ndio yanasababisha mpaka ukae da kupima?!!!Jana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
😂😂 nime like hii post.Juzi ulikua kwenye mkutano ndo ulikopatia hiyo corona, chadema walikua mbele ya muda kuiona hiyo hatari
Hata mm braza zito ,Mungu akulinde upone harakaJana nimepima nakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko.
Corona bado ipo, chukua tahadhari na walinde wengine.
Mungu atunusuru maana wanasema January itakuwa hatariPole mkuu. Uzuri mmoja hii “Omicron” inaenea kwa kasi sana lakini siyo as deadly as that delta variant.
Huyu bwana ni vigumu kumwamini kutokana na historia yake. Yawezekana anatumika kama ubao wa matangazo ya kuhimiza chanjo.Pole sana ila bado wengi hawawezi kukuamini maana matendo na maneno yako huwa ni tata wakati mwingine. Wengi watajua wewe ni mzima ila una maana nyingine tu